Tofauti kati ya marekesbisho "Lugha za Khoisan"

101 bytes added ,  miaka 4 iliyopita
no edit summary
(Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Lugha za Khoisan''' ni lugha za Afrika ambazo ni maalumu kwa fonimu zake nyingi sana. Zimeenea hasa Kusini mwa Afrika, lakini zinatumika pia...')
 
'''Lugha za Khoisan''' ni [[lugha]] za [[Afrika]] ambazo ni maalumu kwa [[fonimu]] zake nyingi sana, kuliko lugha nyingine zote.
 
Zimeenea hasa [[Kusini mwa Afrika]], lakini zinatumika pia nchini [[Tanzania]].<ref>Barnard, A. (1988) 'Kinship, language and production: a conjectural history of Khoisan social structure', ''[[Africa: Journal of the International African Institute]]'' '''58''' (1), 29–50.</ref>
 
Hii inaonyesha kwamba kabla ya [[uenezi]] wa ma[[kabila]] ya [[Kibantu]], lugha hizo zilitawala [[Bara|barani]] Afrika [[kusini]] kwa [[ikweta]].
 
Baadhi ya lugha hizo zimeshakufa na nyingine ziko hatarini. Karibu zote hazina maandishi.
 
Ile inayotumiwa na watu wengi zaidi (250,000 hivi) inaitwa [[Khoekhoe]] ("Nàmá") na inapatikana nchini [[Namibia]]. Inafuatwa na [[Kisandawe]] nchini Tanzania (40,000-80,000).
 
==Tanbihi==
 
[[Category:Lugha za Afrika]]
[[Jamii:Lugha za Kikhoisan]]
[[Jamii:Makundi ya lugha]]