Tofauti kati ya marekesbisho "Lugha za Khoisan"

130 bytes added ,  miaka 4 iliyopita
no edit summary
[[Picha:Khoi-San.png|thumb|300px|Uenezi wa lugha za Khoisan barani Afrika ([[rangi]] ya [[njano]]).]]
'''Lugha za Khoisan''' ni [[lugha]] za [[Afrika]] ambazo ni maalumu kwa [[fonimu]] zake nyingi sana, kuliko lugha nyingine zote.
 
Zimeenea hasa [[Kusini mwa Afrika]], lakini zinatumika pia katika [[wilaya ya Chemba]] nchini [[Tanzania]].<ref>Barnard, A. (1988) 'Kinship, language and production: a conjectural history of Khoisan social structure', ''[[Africa: Journal of the International African Institute]]'' '''58''' (1), 29–50.</ref>
 
Hii inaonyesha kwamba kabla ya [[uenezi]] wa ma[[kabila]] ya [[Kibantu]], lugha hizo zilitawala [[Bara|barani]] Afrika [[kusini]] kwa [[ikweta]].