Kiarabu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d picha mpya
Mstari 13:
 
Umuhimu wa lugha hii unazidi kukua kila siku kwa sababu ya kutumika kwenye maeneo ya katikati ya ulimwengu baina ya [[Bara|mabara]] ya kale ([[Afrika]], [[Asia]] na [[Ulaya]]) na mabara mapya ya ulimwengu ([[Amerika ya Kaskazini]] na [[Amerika ya Kusini|Kusini]]).
[[Picha:Arabic_speaking_worldArabic speaking world.pngsvg|thumbnailthumb|500px323x323px|[[Ramani]] inaonyesha nchi ambako Kiarabu ni lugha rasmi pekee (kijani) au lugha rasmi pamoja na lugha nyingine (buluu).]]
 
== Asili ya lugha ya Kiarabu ==
Kiarabu, pamoja na lugha ya [[Kiebrania]] (ya [[Uyahudi]]) na [[Kiaramu]] (ya [[Mashariki ya Kati]]) na [[Kiamhari]] (ya [[Ethiopia]]) zinatokana na asili moja ya [[lugha ya Kisemiti]]. Kuna lugha nyingi vile vile ambazo zinatokana na asili hii, kama [[Kiashuri]], [[Kifinisia]], [[Kibabili]] na kadhalika. Baadhi ya hizi lugha zimekufa au kuwa na wazungumzaji wachache, na kwa hiyo umuhimu wake umekuwa si mkubwa kama ulivyo umuhimu wa lugha ya Kiarabu.