Lugha ya kufundishia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Ni lugha maalum inayoteuliwa kutumia kutoa elimu rasmi katika taifa husika zima. Baadhi ya nchi huwa na lugha zaidi ya moja za kufundishia. Nchini Tanzania, eli...'
Tags: Mobile edit Mobile web edit
(Hakuna tofauti)

Pitio la 18:28, 25 Agosti 2016

Ni lugha maalum inayoteuliwa kutumia kutoa elimu rasmi katika taifa husika zima. Baadhi ya nchi huwa na lugha zaidi ya moja za kufundishia. Nchini Tanzania, elimu ya msingi na elimu ya watu wazima hutolewa kwa lugha ya kiswahili, lakini elimu ya sekondari na ya chuo kikuu hutolewa kwa kiingereza. Serikali ya Tanzania iko mbioni kuelekea zaidi kutumia lugha ya kswahili kama lugha rasmi ya kufundishia. Nchini kenya na Uganda lugha ya kufundishia ni kiingereza isipokua kwa baadhi ya masomo. Nchi ya Rwanda ilibadili lugha yake ya kufundishia kutoka kifaransa hadi kiingereza. Nchi nyingi za ulaya zinatumia lugha za nchi zao kama pia lugha za kufundishia.