Pwani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Pwani ni ukanda uliopembezoni na unaopakana na bahari, mara nyingi huanzia kwenye fukwe hadi umbali kadhaa kuelekea barani, Baadhi ya maeneo ya maeneo yaliy...'
Tags: Mobile edit Mobile web edit
(Hakuna tofauti)

Pitio la 18:32, 25 Agosti 2016

Pwani ni ukanda uliopembezoni na unaopakana na bahari, mara nyingi huanzia kwenye fukwe hadi umbali kadhaa kuelekea barani, Baadhi ya maeneo ya maeneo yaliyo pwani ya nchi za waswahili pia huitwa hivyo pwani, na mbali sana na ufukwe panaitwa bara, Hali kadhalika watu waishio maeneo ya pwani huitwa watu wa pwani.