Chuo Kikuu cha Zürich : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
uswisii kuwa uswisi
No edit summary
Mstari 1:
Hiki ni [[chuo kikuu]] kikubwa kabisa katika nchi ya [[uswisi]], kipatikanacho katika [[jiiji]] la [[Zurich]], kilicho na zaidi ya wanafunzi 26000. Kilianzishwa mwaka 1883 kutoka kwa vyuo vidogo vilivyokuwapo vya elimu ya dini, sheria , utabibu na kitivo kipya cha [[falsafa]] kilichoanzishwa.
Kwa sasa chuo hiki kina jumla ya vitivo saba amabvyo ni [[falsafa]], utabibu wa binaadamu, hisabati, sheria, sayansi asilia, elimu ya dini na utabibu wanyama.
Chuo kinatoa masomo mengi na kozi nyingi ukilinganisha na taasisi zingine za elimu ya juu nchini [[Uswisii|Uswisi]].