Chuo Kikuu cha Zürich : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
Hiki'''Chuo Kikuu cha Zürich''' ni [[chuo kikuu]] kikubwa kabisa katika nchi ya [[uswisiUswisi]], kipatikanacho katika [[jiijijiji]] la [[Zurich]], NA kilicho na zaidi ya [[wanafunzi]] 26000.

Kilianzishwa mwaka [[1883]] kutokakutokana kwana vyuo vidogo vilivyokuwapo vya [[elimu]] ya [[dini]], [[sheria]] , [[utabibu]] na [[kitivo]] kipya cha [[falsafa]] kilichoanzishwa.
 
Kwa sasa chuo hiki kina jumla ya vitivo [[saba]] amabvyoambavyo ni [[falsafa]], utabibu wa binaadamu[[binadamu]], [[hisabati]], sheria, [[sayansi asilia]], [[elimu ya dini]] na [[utabibu wanyama]].
Chuo kinatoa masomo mengi na kozi nyingi ukilinganisha na taasisi zingine za elimu ya juu nchini [[Uswisi]].
 
Chuo kinatoa masomo mengi na kozi nyingi ukilinganisha na [[taasisi]] zingine za [[elimu ya juu]] nchini [[Uswisi]].
 
{{mbegu}}
 
[[Jamii:Vyuo vikuu]]
[[Jamii:Zurich]]