Tofauti kati ya marekesbisho "Kwanta"

70 bytes added ,  miaka 3 iliyopita
no edit summary
(Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'kwanta katika fizikia ni kiwango cha chini kabisa cha kipimo chochote cha kiumbo inayohusika katika maingiliano. Nadharia inayoelezea kwanta katika fizi...')
 
 
kwanta'''Kwanta''' katika [[fizikia]] ni kiwango cha chini kabisa cha [[kipimo]] chochote cha kiumbo inayohusika katika maingiliano. [[Nadharia]] inayoelezea kwanta katika fizikia inaitwa ''nadharia ya kwanta'' na inazungumza kwamba vipimo vyovyote vya kiumbo vyaweza kupimwa hadi kiwango cha chini kabisa cha kwanta, mfano kiwango cha chini kabisa cha mwanga ni ukubwa wa fotoni, na kiwango cha chini kabisa cha chaji ni chaji ya [[elektroni]].
 
[[Nadharia]] inayoelezea kwanta katika fizikia inaitwa ''[[nadharia ya kwanta]]'' na inazungumza kwamba vipimo vyovyote vya kiumbo vyaweza kupimwa hadi kiwango cha chini kabisa cha kwanta, mfano kiwango cha chini kabisa cha [[mwanga]] ni [[ukubwa]] wa [[fotoni]], na kiwango cha chini kabisa cha [[chaji]] ni chaji ya [[elektroni]].
 
{{mbegu-fizikia}}
 
[[Jamii:Fizikia]]