Damu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 259:
 
==Utamaduni na imani za dini==
Kutokana na umuhimu wake katika [[maisha]], damu inahusishwa na idadi kubwa ya [[imani]]. Moja kati ya zile kuu zaidi ni matumizi ya damu kama [[alama]] ya mahusiano ya [[familia]] kupitia kuzaliwa / [[uzazi]]; kuwa na "uhusiano wa damu" ni kuhusiana kwa uzazi au [[nasaba]], badala ya [[ndoa]]. Hii huhusiana kwa karibu na [[ukoo]], na misemo kama vile "damu ni nzito kuliko maji" na, "damu mbaya", na pia "ndugu wa damu." Damu husisitizwa sana katika [[dini]] za Kiyahudi na Kikristo kwa sababu [[Walawi (Biblia)|Walawi]] 17:11 inasema "maisha ya [[Kiumbehai|kiumbe]] yamo katika damu." Fungu hili ni sehemu ya [[sheria]] ya Kilawi inayopinga unywaji wa damu au ulaji wa [[nyama]] ambayo bado ina damu ndani yake badala ya kuyamwagakuimwaga nje.
 
Marejeleo ya [[hadithi]] kuhusu damu mara nyingine yanaweza kushikanishwa na hali ya kutoa [[uhai ya damu]], kama inavyodhihirika katika matukio kama vile kujifungua, ikilinganishwa na damu ya [[jeraha]] au [[kifo]].
 
===Waaustralia asili===
Katika [[desturi]] za wakazi asili wa [[Australia]], [[ngeu]] (hasa nyekundu) na damu, zote zikiwa na kiwango cha juu cha [[Chuma|chuma]] na ambazo zinadhaniwa kuwa Maban, (zenye nguvu za [[uchawi]]) hupakwa kwenye miili ya [[wachezaji]] wakati wa [[tambiko|matambiko]]. Kama [[Robert Lawlor]] anavyonasemaanavyosema:<blockquote>
Katika tamaduni na sherehe nyingi za Aborijini, ngeu nyekundu hupakwa katika sehemu zote za miili uchi za wachezaji. Katika sherehe za siri na takatifu za kiume, damu iliyoondolewa kutoka kwenye vena za mikono ya mshiriki hubadilishwa na kusuguliwa juu ya miili yao. Ngeu nyekundu pia hutumiwa kwa njia sawa na hii katika sherehe zisizo za siri. Damu pia hutumika kushikilia manyoya ya ndege kwenye miili ya watu. Manyoya ya ndege huwa na protini ambayo ina kiwango cha juu cha hisi ya magnetiki. <ref>{{cite book |author=Lawlor, Robert |title=Voices of the first day: awakening in the Aboriginal dreamtime |publisher=Inner Traditions International |location=Rochester, Vt |year=1991 |pages=102–3 |isbn=0-89281-355-5 }}</ref></blockquote> Lawlor anasema kuwa damu inayotumika kwa njia hii inaaminika na watu hawa kuwa inawaunganisha wachezaji na [[dunia]] yenye nguvu isiyoonekana ya wakati wa [[ndoto]]. Lawlor maeneo haya yenye nguvu zisizoonekana na maeneo ya [[sumaku]], kwa kuwa chuma ina sumaku.
 
===Upagani katika Indo-Uropa===
Kati ya ma[[kabila]] ya kundi la [[lugha]] zinazohusiana na [[Kijerumani]] (kama vile Anglo-Saksonie na Norsemeni), damu ilitumika wakati wa kutoa [[dhabihu]] zao zilizoitwa ''the Blóts''. Damu hii ilikuwa inaaminika kuwa ina uwezo wa chanzo chake, na baada ya kuua mnyama, damu ilinyunyizwa kwenye kuta, juu ya [[sanamu]] za [[miungu]], kwa washiriki wenyewe. Kitendo hiki cha kunyunyiza damu kiliitwa ''bleodsian'' kwa [[Kiingereza cha kale]], na [[istilahi]] hii ilikopwa na [[Kanisa la KikatolikiKatoliki]] na kuwa ''kubariki'' na ''[[baraka]].'' Neno la [[Kihiti]] lenye maana ya damu, ''ishar'' alihusianalilihusiana na maneno "[[kiapo]]" na "kiunganishi":, tazama [[Ishara]].
[[Ugiriki ya Kale|Wagiriki wa Kale]] waliamini kuwa damu ya miungu, ''ichor,'' ilikuwa ni [[madini]] ambayo ilikuwa [[sumu]] kwa binaadamubinadamu.
 
===Uyahudi===
Katika [[Uyahudi|Uyahudi,]], damu haiwezi kuliwa hata kwa kiasi kidogo (Walawi 3:17 na mahali pengine); jambo hili linajitokeza katika sheria za Kiyahudi kuhusu [[lishe]] (Kashrut). Damu huondolewa kutoka kwenye [[Nyama|nyama]] kwa kuweka [[chumvi]] na kuilowesha nyama kwenye maji.
 
TambikoMatambiko zinginenyingine zaya damu zinahusuyanahusu kufunika damu ya [[ndege]] na mawindo baada ya uchinjaji (Walawi 17:13); sababu iliyotolewa na [[Torati|Torati]] ni: "Kwa kuwa uhai wa wanyama uko [ndani ya] damu yake" (ibidWalawi 17:14).
 
Pia ikiwa mtu wa imani halisi ya Kiyahudi amekufa kwa njia ya kinyama, sheria za kidini zinaamuru kuwa damu yake ukusanyweikusanywe na izikwe pamoja na [[mwili]].
 
===Ukristo===
{{main|Ekaristi}}
Baadhi ya makanisa[[madhehebu]] ya kikristoKikristo, ikiwa ni pamoja na Kanisa la Kikatoliki wa KirumiKatoliki, Imani inayokubalika ya Mashariki[[Waorthodoksi]], [[Waorthodoksi wa Mashariki|Imani inayokubalika ya nchi za mashariki,]] na Kanisa la Asiria la Mashariki hufundisha kwamba, baada ya kutakaswa, [[divai]] ya [[Ekaristi]] hubadilika na ''kuwa'' damu ya [[Yesu|Yesu.]]. Hivyo, katika duvaidivai takatifu, Yesu anakuwa hapoyupo kiroho na kimwili. Mafundisho haya yana misingi yake katika Karamu ya mwisho, kama ilivyoandikwa katika injili nne za [[Biblia ya Kikristo|Biblia,]] ambapo Yesu aliwaambia wanafunzi wake kuwa mkate walioukula ni mwili wake, na divai ilikuwa damu yake. ''"Kikombe hiki ni agano jipya ya damu yangu, inayomwagika kwa ajili yenu." '' ''( {{sourcetext|source=Bible|version=King James|book=Luke |chapter=22|verse=20}} ).''
 
Aina mbalimbali za Uprotestanti, hasa wale wa Wesley au wa ukoo wa Presibiteri, hufundisha kuwa divai ni alama tu ya damu ya Kristo, ambaye yuko kiroho lakini hayuko kimwili. Teolojia ya Kilutheri hufunza kuwa mwili na damu ziko pamoja "katika, pamoja na, na chini ya" mkate na divai ya sherehe ya Ekaristi.