Mama Teresa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Bot: Migrating 2 langlinks, now provided by Wikidata on d:q30547
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:MotherTeresa 090.jpg|thumb|250px]|Mama Teresa mnamo mwaka 1990.]]
[[Picha:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
'''Mama Teresa wa Kolkata''' ([[26 Agosti]] [[1910]] – [[5 Septemba]] [[1997]]) alikuwa [[mtawa]] wa [[Kanisa Katoliki]] aliyejulikana kimataifa hasa kutokana na [[huduma]] zake kwa watu [[maskini]] katika [[mji]] wa [[Kolkata]] ([[Uhindi]]) na kwingineko iliyofanya apatiwe [[tuzo ya Nobel ya Amani]].
 
'''MamaTarehe Teresa wa Kolkata''' ([[2619 AgostiOktoba]] [[19102003]] alitangazwa na [[5Papa Septemba]]Yohane Paulo [[1997II]]) alikuwakuwa [[mtawamwenye heri]]. waBaada ya [[Kanisa Katolikimuujiza]] aliyejulikanawa kimataifapili hasa kutokanakufanywa na [[hudumaMungu]] yake kwa watumaombezi yake, [[maskiniPapa Fransisko]] katikaamemtangaza mji wakuwa [[Kolkatamtakatifu]] (tarehe [[Uhindi4 Septemba]]) iliyofanya apatiwe [[tuzo ya Nobel ya Amani2016]].
 
Tarehe [[19 Oktoba]] [[2003]] alitangazwa na [[Papa Yohane Paulo II]] kuwa [[mwenye heri]]. Bado muujiza wa pili unahitajika ili atangazwe kuwa [[mtakatifu]].
 
[[Sikukuu]] yake huadhimishwa kila mwaka tarehe 5 Septemba. Siku hiyohiyo imetangazwa na [[mkutano mkuu]] wa [[Umoja wa Mataifa]] kuwa [[siku ya kimataifa ya upendo]] kuanzia mwaka [[2013]].
 
== Maisha ==
Alizaliwa tarehe 26 Agosti 1910 mjini [[Skopje]] (katika [[Dola la Kituruki]], leo [[mji mkuu]] wa [[Makedonia]]) katika [[familia]] ya [[Waalbania]] akaitwa '''Agnes Gonxha Bojaxhiu'''.
 
Alipofikia [[umri]] wa miaka 18 alijiunga na shirika la [[Masista wa Loreto]] huko [[Ireland]] na mwaka [[1929]] alitumwa Uhindi afundishe kwenye [[shule]] ya masista mjini Kolkata alipoendelea hata kuwa [[mkuu wa shule]].
 
Hata hivyo aliguswa sana na hali ya ma[[fukara]] nje ya shule akajisikia [[wito]] wa kuwasaidia na kuishi pamoja nao.
Line 21 ⟶ 20:
Mwaka [[1950]] alianzisha shirika la Masista [[Wamisionari wa Upendo]] ambalo mwanzoni lilikuwa jumuiya ndogo ya masista 12 tu.
 
Kati ya kazi zao za kwanza ilikuwa [[nyumba]] kwa watu [[mahututi]]; masista waliwakusanya wakiwa wamelala [[barabara]]ni na kuwapeleka katika nyumba hiyo walipopata [[dawa]], [[chakula]] na usaidizi mwingine.
 
Shirika lilikua haraka sana; hadi leo kuna masista 4,000 kwa jumla katika matawi mengi kote [[duniani]].
 
Wanaendesha nyumba kwa [[watoto]] [[yatima]], wagonjwa wa [[UKIMWI]], wenye [[ukoma]], [[walemavu]], [[walevi]], wenye [[kichaa]] na kila aina ya matatizo maishani.
Line 29 ⟶ 28:
Mwaka [[1979]] alipewa [[Tuzo ya Nobel ya Amani]].
 
Mama Teresa aliaga [[dunia]] tarehe 5 Septemba 1997 akafanyiwa [[mazishi]] ya kitaifa.
 
== Sala zake ==
Line 81 ⟶ 80:
*Spink, Kathryn. ''Mother Teresa: A Complete Authorized Biography''. New York: HarperCollins, 1997. ISBN 0-06-250825-3
 
== Viungo vya Njenje ==
{{Commons}}
* [http://www.calcuta.org Kolkata Mother Teresa Information]
Line 110 ⟶ 109:
[[Jamii:Watawa waanzilishi]]
[[Jamii:Tuzo ya Nobel ya Amani]]
[[Jamii:Wenye heriWatakatifu wa Albania]]
[[Jamii:Wenye heriWatakatifu wa Makedonia]]
[[Jamii:Wenye heriWatakatifu wa India]]
 
 
 
 
 
[[ml:മദര്‍ തെരേസ]]