Damu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 279:
 
Pia ikiwa mtu wa imani halisi ya Kiyahudi amekufa kwa njia ya kinyama, sheria za kidini zinaamuru kuwa damu yake ikusanywe na izikwe pamoja na [[mwili]].
 
Jambo muhimu zaidi ni kwamba kwenye [[Pasaka]] Wayahudi wanapaswa kuchinja [[mwanakondoo]] [[dume]] na kupaka milango yao kwa damu yake kama kinga. Ndivyo walivyofanya tangu kale, hasa katika [[Musa]] kuwatoa [[Misri]].
 
===Ukristo===