Damu : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Mstari 284:
===Ukristo===
{{main|Ekaristi}}
Kwa Wakristo [[damu ya Kristo]]
Katika damu hiyo Mungu alifanya na watu [[agano jipya]] la [[milele]], kama alivyotangaza Yesu mwenyewe katika [[karamu ya mwisho]] na [[Mitume wa Yesu|mitume]] wake.
Baadhi ya [[madhehebu]] ya [[Ukristo]], yakiwa ni pamoja na Kanisa Katoliki, [[Waorthodoksi]], [[Waorthodoksi wa Mashariki]] na [[Kanisa la Asiria]] la Mashariki hufundisha kwamba, baada ya kuwekwa [[wakfu]], [[divai]] ya [[Ekaristi]] hubadilika na kuwa damu ya [[Yesu]]. Hivyo, katika divai takatifu, Yesu anakuwa yupo kiroho na kimwili. Mafundisho hayo yana misingi yake katika [[Karamu ya mwisho]], kama ilivyoandikwa katika [[Injili]] nne za [[Biblia ya Kikristo]], ambapo Yesu aliwaambia wanafunzi wake kuwa [[mkate]] walioula ni mwili wake, na divai ni damu yake. "[[Kikombe]] hiki ni [[agano jipya]] katika damu yangu, inayomwagika kwa ajili yenu." ([[Lk|Luka]] 22:20).
[[Teolojia]] ya [[Walutheri]] hufunza kuwa mwili na damu ziko pamoja "katika, pamoja na, na chini ya" mkate na divai ya [[sherehe]] ya Ekaristi. Aina nyingine za [[Uprotestanti]], hasa [[
Upande wa damu ya wanyama,
===Uislamu===
|