Agano Jipya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Aliulinda "Agano Jipya" ([Kuhariri=Zuia watumiaji wapya au wale ambao hawajajisajilisha] (bila mwisho))
No edit summary
Mstari 4:
Linakusanya vitabu ambavyo [[Ukristo|Wakristo]] wote wanaviheshimu kama vitakatifu na vilivyoandikwa baada ya ujio wa [[Yesu Kristo]] hadi mwisho wa wakati wa mitume wake.
 
Vitabu vyake 27 vinaleta habari zake, za [[Mitume wa Yesu|mitume wake]] na za mwanzo wa [[Kanisa]] lake.
 
Vinatakiwa kusomwa kama kilele cha [[ufunuo]] wa [[Mungu]] kwa [[binadamu]] kadiri ya [[Historia ya Wokovu]].
 
Jina lilitungwa na [[nabii Yeremia]] ([[Yer]] 31:30) alipotambua kwamba kwa kiasi fulani lile la [[mlima Sinai]] lilikuwa na dosari ([[Eb]] 8), lakini Mungu kwa [[uaminifu]] wake asingeweza kukubali likome tu.
 
Vitabu vya Agano Jipya ni kama ifuatavyo (Kwa mabano: kifupi cha kawaida kwa kutaja kitabu hiki).
 
== Vitabu vya kihistoria ==
[[Injili]] nne zinasimulia habari za maisha na mafundisho ya [[Yesu]] na kutangaza hasa [[Msalaba wa Yesu|kifo]] na [[Ufufuko wa Yesu|ufufuko wake]].
* [[Injili ya Matthayo]] (Mt.)
* [[Injili ya Marko]] (Mk.)