Waorthodoksi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Waorthodoksi.png|thumbnail|450px|Maeneo ya Waorthodoksi katika Ulaya na Mashariki ya Kati]]
'''Waorthodoksi''' ni [[Ukristo|Wakristo]] wanaofuata mapokeo ya [[Mitume wa Yesu]] jinsi yalivyostawi kihistoria katika [[Ukristo wa Mashariki]] upande wa mashariki wa [[Dola la Roma]] iliyoitwa pia [[Bizanti]] na nje ya mipaka yake. Leo hii ni nchi za [[Ulaya ya Mashariki]] pamoja na nchi za [[Mashariki ya Kati]] ulipoenea baadaye [[dini]] ya [[Uislamu]].
 
'''Kanisa la Orthodoksi''' ni jina linalotumika hasa kumaanisha [[Kanisa]] la [[Ukristo|Kikristo]] linalokubali [[mamlaka]] ya kiroho ya [[Mitaguso ya kiekumene|mitaguso saba ya kiekumeni]] tu. Leo, hasa kwa sababu ya [[uhamiaji]], Kanisa la Orthodoksi lipo katika [[dunia]] nzima, lakini bado lina [[idadi]] kubwa ya waumini katika Ulaya ya Mashariki.
Jina hilo lina asili ya [[Kigiriki]] likitokana na maneno όρθος ("orthos", yaani "nyofu", "sahihi") na δόξα ("doksa", yaani "rai", "fundisho") yaani "wenye fundisho sahihi".
 
Jina hilo ("Orthodoksi") lina asili ya [[Kigiriki]] likitokana na maneno όρθος ("orthos", yaani "nyofu", "sahihi") na δόξα ("doksa", yaani "rai", "fundisho") yaani "wenye fundisho sahihi".
 
Jina hilo lilitungwa ili kutofautisha Wakristo waliofuata mafundisho rasmi ya imani yaliyotolewa na [[Mitaguso ya kiekumene]] dhidi ya mikondo mingine ya wakati ule.
Line 9 ⟶ 11:
 
Makanisa ya kujitegemea ya Kiorthodoksi ni kama yafuatayo:
* PatriarkiUpatriarki wa [[Konstantinopoli ]]
* PatriarkiUpatriarki wa [[Aleksandria]]
* PatriarkiUpatriarki wa [[Antiokia]]
* PatriarkiUpatriarki wa [[Yerusalemu]]
* PatriarkiUpatriarki wa Moskwa[[Moscow]] na [[Urusi]]
* PatriarkiUpatriarki wa Peć na [[Serbia]]
* PatriarkiUpatriarki wa [[Romania]]
* PatriarkiUpatriarki wa [[Bulgaria]]
* PatriarkiUpatriarki wa [[Georgia (nchi)|Georgia]]
* Kanisa la Kiorthodoksi la [[Kipro]]
* Kanisa la Kiorthodoksi la [[Ugiriki]]
* Kanisa la Kiorthodoksi la [[Poland]]
* Kanisa la Kiorthodoksi la [[Albania]]
* Kanisa la Kiorthodoksi la [[UcekiUcheki]] na [[Slovakia]]
 
 
Hivi karibuni hata makanisa mengine ya mashariki yamechagua kujiita hivyo, ingawa yanaendelea kutofautiana kuhusu maazimio kadhaa ya mitaguso mikuu iliyokubaliwa na Wakristo walio wengi. Leo hii wanatofautisha kwa kutumia majina
*"Waorthodoksi" kwa makanisa yaliyotokana na kanisa rasmi la [[Bizanti]] (Roma Mashariki) (ing.kwa [[Kiingereza]]: Eastern Orthodox)
*"[[Waorthodoksi wa Mashariki]]" kwa makanisa yaliyojitenga na kanisa hili la Bizanti (kwa (ing.Kiingereza: Oriental Orthodox)
 
Hata hivyo pande hizo mbili zinafanana katika [[liturgiateolojia]], [[liturujia]] na staili za fahari za [[ibada]] zao, pia katika [[sheria]] kuhusu [[Askofu|maaskofu]] ([[Useja mtakatifu|wasiooa]]), [[Kasisi|makasisi]] na [[shemasi|mashemasi]] (wanaoweza kuoakuwa watu wa [[Ndoa (sakramenti)|ndoa]]), natena katika umuhimu wa [[umonaki]] na [[maisha ya kiroho]].
 
[[Category:Ukristo]]
[[Jamii:Waorthodoksi]]