Waorthodoksi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Waorthodoksi.png|thumbnail|450px|Maeneo ya Waorthodoksi katika Ulaya na Mashariki ya Kati]]
[[File:Eastern Orthodoxy by country.png|thumb|450px|Asilimia ya Waorthodoksi duniani nchi kwa nchi:'''
{{legend|#000055|Zaidi ya 75%}}
{{legend|#0000aa|50–75%}}
{{legend|#0000ff|20–50%}}
{{legend|#5555ff|5–20%}}
{{legend|#aaaaff|1–5%}}
{{legend|#b4c8ff|Chini ya 1%, lakini wenye haki ya kujitegemea}}
]]
'''Waorthodoksi''' ni [[Ukristo|Wakristo]] wanaofuata mapokeo ya [[Mitume wa Yesu]] jinsi yalivyostawi kihistoria katika [[Ukristo wa Mashariki]] upande wa mashariki wa [[Dola la Roma]] iliyoitwa pia [[Bizanti]] na nje ya mipaka yake. Leo hii ni nchi za [[Ulaya ya Mashariki]] pamoja na nchi za [[Mashariki ya Kati]] ulipoenea baadaye [[dini]] ya [[Uislamu]].