Ukristo wa Mashariki : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:ChristianityBranches.svg|600px|thumb|center||Matawi ya Ukristo yalivyotokea katika [[historia ya Kanisa]]. Upande wa juu ndio Kanisa la Magharibi, upande wa chini Makanisa ya Mashariki. Unene wa mistari haulingani na ukubwa wa madhehebu husika.]]
[[Image:Christ_Pantocrator_Deesis_mosaic_Hagia_Sophia.jpg|thumb|''[[Kristo]] [[Pantocrator]]'', sehemu ya [[Deesis]] katika [[Hagia Sophia]] - [[Konstantinopoli]] ([[Istanbul]]) [[karne ya 12]].]]
'''Ukristo wa Mashariki''' ni jina linalojumlisha [[madhehebu]] yote ya [[Ukristo]] yaliyotokea upande wa [[mashariki]] wa [[Bahari ya Kati]] na nje ya [[Dola la Roma]] yakiwa na mielekeo tofauti na ile ya [[Kanisa la Magharibi]], ambalo ndilo aina ya Ukristo iliyoenea zaidi duniani pamoja na [[ustaarabu]] wa magharibi ulioathiriwa nayo.
 
Unajumlisha hasa ma[[kanisa]] ya [[Waorthodoksi wa Mashariki]] na [[Waorthodoksi]], ambayo yalitengana na [[Kanisa la Magharibi]] hasa katika [[karne ya 5]] na [[karne ya 11]], pamojalakini napia [[Makanisa Katoliki ya Mashariki]] ambayo yana [[ushirika kamili]] na [[Papa]] na [[Kanisa Katoliki]] lote.
 
Makanisa hayo yanatofautiana sana kwa sababu toka mwanzo yalizingatia [[utamadunisho]] wa [[imani]] katika jamii husika. Hata hivyo yana sifa nyingi za pamoja katika [[teolojia]], [[liturujia]], [[maisha ya Kiroho]], [[sheria]] n.k.
 
Kwa sasa wanajumuisha waamini [[milioni]] 300 hivi [[duniani]] kote.
 
Yale makubwa zaidi ni [[Kanisa la Kiorthodoksi la Kirusi]] na [[Kanisa la Kiorthodoksi la Ethiopia]].
[[Picha:ChristianityBranches.svg|600px|thumb|center||Matawi ya Ukristo yalivyotokea katika [[historia ya Kanisa]]. Upande wa juu ndio Kanisa la Magharibi, upande wa chini Makanisa ya Mashariki. Unene wa mistari haulingani na ukubwa wa madhehebu husika.]]
{{Ukristo}}
==Marejeo==
* {{Cite book|editor=Angold, Michael|title=The Cambridge History of Christianity|volume=Volume 5, Eastern Christianity|year=2006|publisher=Cambridge University Press|isbn=978-0-521-81113-2}}
Line 19 ⟶ 25:
* [http://JonathansCorner.com/ Christos Jonathan Hayward, Eastern Orthodox author and theologian]
* [http://www.malankara.org.in/ Syro Malankara Catholic Church, International Homepage]—Eastern Syrian Church in India
* [http://pa.photoshelter.com/c/enricomartino/gallery/Middle-East-Christian-Churches-The-Living-Stones/G0000Iz3AUSXebjE/ Reportage on Eastern Churches, by [[Enrico Martino]]]
* [http://commons.orthodoxwiki.org/Main_Page OrthodoxWiki]
* [http://www.westsrbdio.org/prolog/prolog.htm/ Prologue from Ohrid - (Saints of the Orthodox Church)]