Kanisa la Magharibi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[image:Greco, El - Sts Peter and Paul.jpg|thumb|250px|[[Mitume Petro na Paulo]] walivyochorwa na [[El Greco]] katika [[karne ya 16]], [[Hermitage Museum]], [[Russia]]. Ndio walioathiri zaidi Ukristo wa Magharibi.]]
[[Picha:ChristianityBranches.svg|600px|thumb|center||Matawi ya Ukristo yalivyotokea katika [[historia ya Kanisa]]. Upande wa juu ndio Kanisa la Magharibi, upande wa chini Makanisa ya Mashariki. Unene wa mistari haulingani na ukubwa wa madhehebu husika.]]
'''Kanisa la Magharibi''' (au '''Ukristo wa Magharibi''') linajumlisha [[Kanisa la Kilatini]] na [[madhehebu]] mengine yaliyotokea upande wa [[magharibi]] wa [[Bahari ya Kati]] yakiwa na mwelekeo tofauti na ile ya [[Makanisa ya Mashariki]] iliyoenea hata nje ya [[Dola la Roma]].
 
Katika [[Karne za kati]], taratibu [[Kanisa la Roma]] liliunganisha magharibi yote chini yake, hata kwa kufuta [[mapokeo]] tofauti, kama ya [[Makanisa ya Kiselti]] katika [[visiwa vya Britania]].
 
Hata baada ya Kanisa la Magharibi kupatwa na ma[[farakano]] mengi, hasa katika [[karne ya 16]], bado kuna mambo mengi yanayofananisha Kanisa la Kilatini na [[madhehebu]] mengi ya [[Uprotestanti]] yaliyotokana yote nayo ama moja kwa moja ama kupitia madhehebu yaliyokwishajitenga.
Ndiyo aina ya Ukristo iliyoenea zaidi [[duniani]] (8085% hivi) pamoja na [[ustaarabu]] wa magharibi ulioathiriwa nayo, kiasi kwamba katika sehemu nyingi Ukristo wa Mashariki haujulikani au walau haueleweki.
 
[[Picha:ChristianityBranches.svg|600px|thumb|center||Matawi ya Ukristo yalivyotokea katika [[historia ya Kanisa]]. Upande wa juu ndio Kanisa la Magharibi, upande wa chini Makanisa ya Mashariki. Unene wa mistari haulingani na ukubwa wa madhehebu husika.]]
{{Ukristo}}
{{mbegu-Ukristo}}
 
[[Jamii:Historia ya Kanisa]]