Baptisti : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Baptist church 2 Vauxhall Saint Helier.jpg|thumb|Mlango wa [[kanisa]] la Kibaptisti huko [[St. Helier]]]]
{{Ukristo}}
'''Baptisti''' ni neno linalotumika pengine kuelezea kinachohusika na [[mapokeo]] maalumu ndani ya [[Ukristo]] wa [[Uprotestanti|Kiprotestanti]] na hasa kutajia mali au makanisa ya Wabaptisti au [[madhehebu]] ya Kibaptisti, ambayo ni kati ya yale yenye waumini wengi zaidi duniani. Wanakadiriwa kuwa milioni 110 katika jumuia 220,000.