Mwasauya : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
d fixing broken link |
||
Mstari 1:
'''Mwasauya''' ni [[kata]] ya [[Wilaya ya Singida Vijijini]] katika [[Mkoa wa Singida]], [[Tanzania]].
Kwa mujibu wa [[sensa]] iliyofanyika mwaka wa [[2012]], kata ilikuwa na wakazi wapatao 11,032 waishio humo<ref>[
Kata hii imezaliwa na kata ya [[Ikhanoda]] na ina [[Kijiji|vijiji]] vitatu ambavyo ni Ngamu, Mdilu na Mwasauya, ila kijiji kimoja tu ambacho kina [[umeme]]: ni kijiji cha Ngamu.
|