Majadiliano:Uzazi wa mpango : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '==Merge== Have added some content on birth control translated from English here with references Udhibiti_wa_uzazi. How do people propose merging? ~~~~'
 
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Mstari 1:
==Merge==
Have added some content on birth control translated from English here with references [[Udhibiti_wa_uzazi]]. How do people propose merging? [[:en:User:Jmh649|<span style="color:#0000f1">'''James Heilman, MD'''</span>]] ([[:en:User talk:Jmh649|talk]] · [[Special:Contributions/Jmh649|contribs]] · [[Special:EmailUser/Jmh649|email]])(please leave replies on my talk page) 00:34, 30 Novemba 2013 (UTC)
 
== Mada imekaa kiupendeleo ==
 
Mada hii imekaa kiupendeleo kwani imeandikwa ikiegemea zaidi mtazamo wa kidini bila kujali wapo wasio na dini, pia imekaa katika kuifanya uzazi wa mpango kuonekana jambo baya wakati wikipedia lengo lake ni kumpa taarifa mtu zilizopo bila kuegemea upande wowote, tafadhali ukiandika andika mtazamo wa wahusika wote wanaohusika na jambo unaloliandika.
Mfano ungeandika faida na hasara ya kila njia, kisha ni mtu tena aamue afate au asifate, '''[[Mtumiaji:Almasimagorwa|Almasimagorwa]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Almasimagorwa|majadiliano]])''' 16:36, 9 Septemba 2016 (UTC)
Return to "Uzazi wa mpango" page.