Malengo ya Kiswahili kuwa lugha ya taifa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '''1.Kuwaunganisha watu wote waliopo ndani ya Tanzania. 2.Kuongeza na kusaidia ufanisi wa kazi mbalimbali katika jamii. 3.Ni ishara kuwa huru kama taifa. 4.Ni i...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 12:37, 10 Septemba 2016

1.Kuwaunganisha watu wote waliopo ndani ya Tanzania. 2.Kuongeza na kusaidia ufanisi wa kazi mbalimbali katika jamii. 3.Ni ishara kuwa huru kama taifa. 4.Ni ishara ya kuonyesha uzalendo katika taifa letu. 5.Kuongeza ajira kwa kupata wataalamu watakaofundisha wageni. 6.Kuwapata wakalimani mbalimbali wa lugha ya Kiswahili. 7.Kusaidia kupata vijana wazalendo wa taifa letu. 8.Kuondoa matabaka miongoni mwetu kwa kutumia lugha moja tutakayoelewana. 9.Ili kutoa elimu ya ufanano nchini Tanzania. 10.Kupata nguvu ya pamoja kama taifa ili kupigania haki zao.