Tanganyika (ziwa) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 96 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q5511 (translate me)
No edit summary
Mstari 14:
[[Picha:Ziwa Tanganyika.PNG|thumb|300px|left|Ziwa Tanganyika pamoja na miji muhimu kando lake]]
 
'''Ziwa la Tanganyika''' ni kati ya [[Ziwa|maziwa]] makubwa ya [[Afrika ya kati]] ikiwa eneo lake ni la pili tu baada ya [[Viktoria Nyanza]] katika [[Afrika]] na [[ujazo]] wa [[maji]] yake ya pili [[duniani]] baadayabaada ya [[Ziwa Baikal]].

[[Jina]] lake limekuwa tangu [[1919]] limekuwa pia jina la [[koloni]] yala Kiingereza yala [[Tanganyika]].
 
Ziwa lina ujazo wake mkubwa umetokana na vilindi vyake vinaelekea chini hadi mita 1470. Urefu wa ziwa ni 673 km na upana wake takriban 50 km. Maji ya Ziwa Tanganyika yanajaza ufa kubwa kwenye [[ganda la dunia]] ambalo ni sehemu ya [[bonde la ufa la Afrika ya Mashariki]]. Eneo la maji ni 32,900 km².