Kanisa kuu la Roma : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q84090 (translate me) |
No edit summary |
||
Mstari 1:
'''Kanisa kuu la Roma''' [[Maabadi|ni jengo la ibada]] lililopo tangu [[karne ya 4]] hadi leo katika [[mtaa]] wa [[Laterani]] [[Mji|mjini]] [[Roma]].
Kama ma[[jimbo]] yote ya [[Kanisa Katoliki]], jimbo la [[Roma]], ambalo [[askofu]] wake ni mkuu wa maaskofu wote, lina jengo moja la ibada linaloheshimiwa kama ishara ya umoja wa waamini wake.▼
▲
Katika kanisa hilo mara tano ulifanyika [[mtaguso mkuu]].
[[Jamii:Kanisa Katoliki]]
[[Jamii:Roma]]
[[Jamii:Papa]]
|