Kanisa kuu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[image:Archbasilica of St. John Lateran HD.jpg|thumb|300px|Upande wa mbele wa [[Basilika]] kuu la Mt. Yohane huko Laterano wakati wa [[usiku]]. Ndilo kanisa kuu la Roma. Juu ya [[dari]], pamoja na nyingine, kuna [[sanamu]] [[Thenashara|12]] za [[Mitume wa Yesu]].]]
[[File: Catedral_de_Salta_1.jpg|thumb|right|200px|Kanisa kuu wala [[Salta]], [[Argentina]].]]
'''Kanisa kuu''' ni [[jina]] la heshima la [[Maabadi|jengo la ibada]] la [[madhehebu]] mbalimbali ya [[Ukristo]] ambalo [[Askofu]] wa [[jimbo]] ([[dayosisi]]) fulani analitumia kwa kawaida kutekeleza kazi yake kama [[mchungaji]] mkuu wa waamini wake, kama vile kuhubiri na kufundisha [[Neno la Mungu]], kutakasa watu kwa [[sakramenti]] na [[sala]] mbalimbali na kuwaunganisha wote katika kumfuata [[Yesu]] pamoja.
 
==Jina==
Jina hilo linashuhudiwa tayari na [[maandishi]] ya [[mwaka]] [[516]].
 
Linaitwa pia "kanisa mama" kwa sababu ni kama [[mama]] yawa ma[[kanisa]] yote ya jimbo hilo.
 
==Upekee==
Ndani yake umo [[ukulu]], yaani [[kiti cha Askofu]] kisichopatikana katika makanisa mengine.
 
{{mbegu-Ukristo}}
 
[[Jamii:Ukristo]]
[[Jamii:Majengo]]
[[Jamii:Sanaa]]