Ngonjera : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Ngonjera''' ni shairi maalumu ambalo linafuata kanuni za vina na mizani na kutungwa na kughaniwa kwa mtindo kama wa kulumbana kati ya msan...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 13:28, 11 Septemba 2016

Ngonjera ni shairi maalumu ambalo linafuata kanuni za vina na mizani na kutungwa na kughaniwa kwa mtindo kama wa kulumbana kati ya wasanii wanaolitoa hadhara ya watu, kila mmoja akitoa hoja au kuijibu mpaka kufikia mwafaka au maafikiano kati yao.

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ngonjera kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.