Fasihi simulizi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Fasihi simulizi''' ni kazi ya [[sanaa]] inayotumia [[mdomo]] (tofauti na [[maandishi]] kama kwenye [[fasihi andishi]]) kama [[njia]] kuu maalum kwa ajili ya kufikisha [[ujumbe]]. Ni sehemu ya msingi ya [[utamaduni]], na vipengele vyake vingi vinafanya kazi kama katika [[fasihi]] kwa jumla.
 
Katika [[jamii]] isiyo na [[uandishi]] ni wazi kuwa hakuna fasihi andishi. Hata hivyo kila jamii ina [[hazina]] ya mapokeo yapokelewayo mdomo kwa mdomo—kwa mfano [[utenzi]], [[ngano (hadithi)|ngano]] au [[nyimbo za jadi]]—hivyo vyote ni sehemu za fasihi simulizi.
 
Hata jamii ijuayo kusoma na kuandika inaendelea kuwa na fasihi simulizi, hasa nyumbani, k.m. katika kuwasimulia watoto hadithi. Hata hivyo, mara nyingi fasihi simulizi ya jamii ijuayo kusoma na kuandika ni tofauti sana na fasihi simulizi ya jamii isiyo na uandishi, kwa vile imeathiriwa na ujuzi wa kusoma na kuandika, na [[mtindo|mitindo]] ya masimulizi yake haiendi sambamba na mitindo ya masimulizi yasiyoathiriwa na uandishi.
 
Hata jamii ijuayo kusoma na kuandika inaendelea kuwa na fasihi simulizi, hasa [[Nyumba|nyumbani]], k.m. katika kuwasimulia [[watoto]] hadithi. Hata hivyo,Lakini mara nyingi fasihi simulizi ya jamii ijuayo kusoma na kuandika ni tofauti sana na fasihi simulizi ya jamii isiyo na uandishi, kwa vile imeathiriwa na ujuzi wa kusoma na kuandika, na [[mtindo|mitindo]] ya masimulizi yake haiendi sambamba na mitindo ya masimulizi yasiyoathiriwa na uandishi.
 
{| class="wikitable float-right"
Line 23 ⟶ 22:
| [[Hekaya]] || [[Maghani]] || [[Mizungu]] || [[Ngoma]]
|-
| [[HarafaArafa]] || || || [[Michezo ya jukwaani]]
|-
| || || || [[Michezo ya watoto]]
Line 32 ⟶ 31:
|}
 
==Viungo vya Njenje==
 
==Viungo vya Nje==
*[http://chomboz.blogspot.co.uk/p/fasihi_4.html blogu ya Eric Ndumbaro kuhusu Fasiki simulizi ya Kiafrika]
 
{{mbegu-lugha}}
 
[[Category:Fasihi]]