Mwezi : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
→Safari kwenda mwezini: kiungo |
No edit summary |
||
Mstari 2:
[[Picha:Earth-Moon System.jpg|right|thumb|200px|[[Chombo cha angani]] [[Galileo (chombo cha anga)|Galileo]] ilipiga picha hii ya Ardhi na mwezi]]
[[Picha:NASA-Apollo8-Dec24-Earthrise.jpg|right|thumb|200px|Picha maarufu sana ya dunia yetu iliyopigwa na [[mwanaanga]] Mmarekani [[Bill Anders]] wakati wa ujumbe wa [[Apollo 8]] tarehe 24 Desemba 1968. Apollo 8 ilikuwa mara ya kwanza chombo cha angani cha kubebea watu kushikwa na graviti ya mwezi na kuzunguka mwezi kwa ajili ya [[graviti]] hiyo. ]]
'''Mwezi''' ni [[gimba la angani]] linalozunguka [[sayari]].
== Miezi ya sayari ==
Sayari inaweza
Mwezi hauna [[nuru]] ya kwake mwenyewe bali
'''Sayari yenye miezi''' katika [[mfumo wa jua]]:
Line 29 ⟶ 28:
Mwezi wa dunia yetu ni mkubwa kushinda miezi mingine katika [[mfumo wa jua]]. Hakuna jina tofauti kuliko "mwezi" isipokuwa watu wametumia neno la [[Kilatini]] "[[luna]]" kwa ajili ya mwezi wakitaja mwezi wetu ili kuutofautihsa na miezi ya sayari nyingine.
Huwa tunaangalia uso wake upande mmoja,
Uso wa mwezi unajaa mashimo ya [[kasoko]] yaliyosababishwa kwa kugongwa na [[meteoridi]]. Mwezi hauna angahewa inayozuia mapigo ya meteoridi ndogo au kupunguzu nguvu yao jinsi ilivyo duniani.
Line 59 ⟶ 58:
<ref name="umbali_mwezi_dunia">{{cite web | publisher=NASA | title="NASA Solar System Exploration: Planets" | url="http://solarsystem.nasa.gov/planets/profile.cfm?Object=Moon" | accessdate=2010-10-01 }}</ref>
</references>
{{Mfumo wa jua na sayari zake}}
{{Mbegu-sayansi}}
|