Mwezi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
{{splitmaana nyingine|Mwezi|Satellit|date=May 2016(wakati)}}
[[Picha:Earth-Moon System.jpg|right|thumb|200px|[[Chombo cha angani]] [[Galileo (chombo cha anga)|Galileo]] ilipiga picha hii ya Ardhi na mwezi]]
[[Picha:NASA-Apollo8-Dec24-Earthrise.jpg|right|thumb|200px|Picha maarufu sana ya dunia yetu iliyopigwa na [[mwanaanga]] Mmarekani [[Bill Anders]] wakati wa ujumbe wa [[Apollo 8]] tarehe 24 Desemba 1968. Apollo 8 ilikuwa mara ya kwanza chombo cha angani cha kubebea watu kushikwa na graviti ya mwezi na kuzunguka mwezi kwa ajili ya [[graviti]] hiyo. ]]
Mstari 34:
[[Picha:Earth Moon Scale.jpg|thumb|center|800px|Picha inayoonyesha umbali baina ya dunia na mwezi kulingana na ukubwa wao. Umbali wa wastani baina ya mwezi na dunia ni kilomita 384,400. Mwezi wetu una upana wa kilomita 3,470. Dunia yetu ina upana wa kilomita 12,800 <ref name="umbali_mwezi_dunia" />.]]
 
== [[Mwezi (wakati)]] kama kipimo cha wakati ==
[[Picha:Mond Phasen.jpg||framed|none|Awamu za mwezi kuanzia [[mwezi mwandamu]] kupitia robo ya kwanza, nusu mwezi, [[mwezi mpevu]], robo ya tatu hadi mwezi mwandamu tena]]
Uso wa mwezi jinsi unavyoonekana duniani hubadilikabadilika. Mwezi mpevu unaonekana kama duara kamili la kung'aa lakini baada ya kuonekana hivi umbo lapungua kila siku hadi kutoonekana kabisa na hali hii huitwa mwezi mwandamu. Baadaye mwezi unaonekana tena kama [[hilali]] nyembamba na kuongezeka hadi kuwa duara tena. Muda wa mabadiliko yote kupit mara 1 ni siku 29 1/4.
Mstari 44:
== Safari kwenda mwezini ==
[[Picha:Apollo 11 bootprint.jpg|thumb|right|180px|Nyayo za mwanaanga [[Edwin Aldrin]] mwezini &lt;br /&gt;(Apollo 11)]]
Mwezi wetu ni [[gimba la angani]] la kwanza ambako wanadamamuwanadamu wamefika. Tarehe [[21 Julai]] [[1969]] [[mwanaanga]] Mwamerika[[Mmarekani]] [[Neil Armstrong]] alikuwa mtu wa kwanza wa kukanyaga uso wa mwezi. WaamerikaWamarekani 11 walimfuata katika miaka hadi mwaka [[1972]]. Baadaye safari za kwenda mwezini hazikufanywa tena kutokana na gharama kubwa.
 
== Mwezi mali ya watu? ==
Hata kama [[Warusi]] na WaamerikaWamarekani walifikisha mabendera[[bendera]] yaozao mwezini, hakuna anayedai [[mali]] huko. Katika [[mkataba wa kimataifa kuhusu anga wa nje]] nchi 192 za dunia zimepatana ya kwamba mwezi utaangaliwa sawa na maeneo ya kimataifa ya [[bahari]]. Walipatana pia ya kwamba itakuwa marufuku kupeleka [[silaha]] kali kama kinyuklia[[bomu la nyuklia|za nyuklia]] angani. [[Taifa|Mataifa]] mengi ya dunia yamejiunga na [[mkataba]] huo, isipokuwa nchi chache hasa za [[Afrika]] hazikutia sahihi kama vile [[Tanzania]].
 
Lakini kuna watu binafsi wanaodai mali ya mwezi.
Kwanza kuna familia ya Jürgens wanaoishi Westerkappeln (Ujerumani) walipewa hati ya kumiliki mwezi na mfalme wa Prussia Friederich II. tarehe 15.07. 1756 BK. Mfalme alitoa hati kama zawadi ya shukrani kwa huduma bora akiamuru ya kwamba Martin Jürgens atakuwa mwenye mwezi na haki hii itarithiwa na mtoto wa kwanza.
 
Kwanza kuna [[familia]] ya Jürgens wanaoishi Westerkappeln ([[Ujerumani]]) walipewa [[hati ya kumiliki]] mwezi na [[mfalme]] wa [[Prussia]] [[Friederich II.]] tarehe [[15.07. Julai]] [[1756]] [[BK]]. Mfalme alitoa hati kama [[zawadi]] ya [[shukrani]] kwa [[huduma]] bora akiamuru ya kwamba Martin Jürgens atakuwa mwenye mwezi na haki hii itarithiwa na [[mtoto]] wa kwanza.
Bila shaka ilhali hakujua haki za mali za Mjerumani katika mwaka 1980 Mwamerika Dennis M. Hope alifika mbele ya msajili wa viwanda mjini San Francisco akidai mwezi ni wake. Kufuatana na sheria ya Marekani kiwanda ni mali ya mtu akiandikisha dai lake na katika muda wa miaka minane hakuna upingamizi dhidi ya dai lake. Kwa njia hii -iliyowahi kufaulu tayari wakati wa karne zilizopita Wazungu walipojipata Amerika ya Kaskazini (hakuna aliyepinga madai yao mbele ya msajili)- alipata hati ya kumiliki akijaribu kuuza sasa mwezi polepole.
 
Bila shaka ilhali hakujua haki za mali za Mjerumani katika mwaka [[1980]] Mwamerika Dennis M. Hope alifika mbele ya [[msajili]] wa [[viwanda]] [[Mji|mjini]] [[San Francisco]] akidai mwezi ni wake. Kufuatana na [[sheria]] ya Marekani kiwanda ni mali ya mtu akiandikisha dai lake na katika muda wa miaka minane hakuna upingamizi dhidi ya dai lake. Kwa njia hii - iliyowahi kufaulu tayari wakati wa [[karne]] zilizopita [[Wazungu]] walipojipatawalipojipatia [[Amerika ya Kaskazini]] (hakuna aliyepinga madai yao mbele ya msajili) - alipata hati ya kumiliki akijaribu kuuza sasa mwezi polepole.
 
== Vyanzo ==