Tetemeko la ardhi la Kagera 2016 : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 9:
| float = none
| caption = Mahali pa tetemeko la ardhi la 2016 Kagera, Tanzania }}
'''Tetemeko la ardhi kwenye Mkoa wa Kagera''' lilitokealilianza kutokea tarehe [[10 Septemba]] mwaka [[2016]] karibu na [[mji]] wa [[Bukoba]] nchini [[Tanzania]]. [[Tetemeko la ardhi|Zilizala]] hii ilipimiwailipimwa kuwa na nguvu ya 5.9 kwenye [[Tetemeko_la_ardhi#Vipimo|skeli ya MMS]] likatokea takriban [[kilomita]] 40 chini ya uso wa ardhi katika mazingira ya [[kata]] ya [[Nsunga]] karibu na mpaka kati ya Tanzania na [[Uganda]]<ref>{{cite web|title=M5.9 - 22km NE of Nsunga, Tanzania|url=http://earthquake.usgs.gov/earthquakes/eventpage/us10006nkx#executive|publisher=[[United States Geological Survey]]|accessdate=September 10, 2016|date=September 10, 2016}}</ref>.
 
'''Tetemeko la ardhi kwenye Mkoa wa Kagera''' lilitokea tarehe [[10 Septemba]] mwaka [[2016]] karibu na mji wa [[Bukoba]] nchini [[Tanzania]]. [[Tetemeko la ardhi|Zilizala]] hii ilipimiwa kuwa na nguvu ya 5.9 kwenye [[Tetemeko_la_ardhi#Vipimo|skeli ya MMS]] likatokea takriban kilomita 40 chini ya uso wa ardhi katika mazingira ya kata ya [[Nsunga]] karibu na mpaka kati ya Tanzania na [[Uganda]]<ref>{{cite web|title=M5.9 - 22km NE of Nsunga, Tanzania|url=http://earthquake.usgs.gov/earthquakes/eventpage/us10006nkx#executive|publisher=[[United States Geological Survey]]|accessdate=September 10, 2016|date=September 10, 2016}}</ref>.
 
Mshtuko ulisikika hadi [[Uganda]], [[Burundi]], [[Rwanda]], [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo|Jamhuri ka Kidemokrasia ya Kongo]] na [[Kenya]].<ref>{{cite web|title=5.7 earthquake hits northwest Tanzania, 11 dead and many injured|url=http://www.africanews.com/2016/09/10/57-earthquake-hits-northwest-tanzania-tremors-hit-parts-of-east-africa/|publisher=[[Africanews]]|accessdate=September 10, 2016|date=September 10, 2016}}</ref><ref>{{cite news|url=http://www.belfasttelegraph.co.uk/news/world-news/tanzania-rocked-by-57-magnitude-earthquake-35038686.html|title=Tanzania rocked by 5.7 magnitude earthquake|newspaper=Belfast Telegraph|date=September 10, 2016|accessdate=September 10, 2016}}</ref>
 
Nchini Tanzania watu 1416 waliripotiwa kuuawakufa na 203 kujeruhiwa, hasa mjini Bukoba ambako [[shule]] moja iliporomoka<ref>{{cite web|title=Tanzania earthquake toll clims to 14 dead, 200 injured|url=http://www.koreaherald.com/view.php?ud=20160911000343|publisher=[[Korea Herald]]|accessdate=September 11, 2016|date=September 11, 2016}}</ref> na watu 4 waliuawawalikufa kwenye kata ya [[Kamuli]]. Taarifa za wajeruhiwa zimefika pia kutoka Uganda wakati nyumba iliporomoka katika [[wilaya ya Rakai]].<ref>{{cite web|title=Lives lost, houses collapse as earthquake hits Uganda|url=http://www.observer.ug/news-headlines/46371-lives-lost-houses-collapse-as-earthquake-hits-uganda|publisher=[[The Observer (Uganda)|The Observer]]|accessdate=September 11, 2016|date=September 10, 2016}}</ref><br>
 
MjiniTaarifa Bukobaza zaidiwajeruhiwa yazimefika nyumbapia 270 ziliharibiwa. Katikakutoka Uganda eneowakati lililoathiriwa[[nyumba]] zaidiiliporomoka nikatika Kyebe[[wilaya ya pamoja na Minziiro na KannabulemuRakai]].<ref>{{cite web|title=TenLives killedlost, houses incollapse Tanzaniaas earthquake hits Uganda|url=http://www.news.comobserver.auug/world/breakingnews-newsheadlines/earthquake46371-measuringlives-57lost-hitshouses-tanzania/newscollapse-story/a3b6cd5a41b8916ea5b23209808830feas-earthquake-hits-uganda|publisher=[[DeutscheThe PresseObserver (Uganda)|The AgenturObserver]]|accessdate=September 1011, 2016|date=September 10, 2016}}</ref> <br>
 
Mjini Bukoba zaidi ya nyumba 270 ziliharibiwa. Katika Uganda eneo lililoathiriwa zaidi ni [[Kyebe]] pamoja na [[Minziiro]] na [[Kannabulemu]].<ref>{{cite web|title=Ten killed in Tanzania earthquake|url=http://www.news.com.au/world/breaking-news/earthquake-measuring-57-hits-tanzania/news-story/a3b6cd5a41b8916ea5b23209808830fe|publisher=[[Deutsche Presse Agentur]]|accessdate=September 10, 2016|date=September 10, 2016}}</ref>
 
==Tazama pia==
 
* [[Tetemeko la ardhi]]