Mwezi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
{{maana nyingine|Mwezi (wakati)}}
[[Picha:Earth-Moon System.jpg|right|thumb|200px|[[Chombo cha angani]] [[Galileo (chombo cha anga)|Galileo]] ilipiga picha hii ya Ardhi na mwezi]]
[[Picha:NASA-Apollo8-Dec24-Earthrise.jpg|right|thumb|200px|Picha maarufu sana ya dunia yetu iliyopigwa na [[mwanaanga]] Mmarekani [[Bill Anders]] wakati wa ujumbe wa [[Apollo 8]] tarehe [[24 Desemba]] [[1968]]. Apollo 8 ilikuwa mara ya kwanza chombo cha angani cha kubebea watu kushikwa na graviti ya mwezi na kuzunguka mwezi kwa ajili ya [[graviti]] hiyo. ]]
 
'''Mwezi''' ni [[gimba la angani]] linalozunguka [[sayari]].
 
Line 8 ⟶ 7:
Sayari inaweza kukosa mwezi au kuwa na miezi mingi. [[Dunia]] yetu ina mwezi m[[moja]] tu. [[Mshtarii]] ina miezi zaidi ya 60, mingine mikubwa kama sayari ndogo, mingine midogo yenye [[kipenyo]] cha [[km]] 1 tu. [[Utaridi]] haina mwezi.
 
Mwezi hauna [[nuru]] ya kwake mwenyewewenyewe bali unang'aa kutokana na nuru ya [[jua]] inaoakisiwa usoni mwake kama kwenye [[kioo]].
 
'''Sayari yenye miezi''' katika [[mfumo wa jua]]:
Line 32 ⟶ 31:
Uso wa mwezi unajaa mashimo ya [[kasoko]] yaliyosababishwa kwa kugongwa na [[meteoridi]]. Mwezi hauna angahewa inayozuia mapigo ya meteoridi ndogo au kupunguzu nguvu yao jinsi ilivyo duniani.
 
[[Picha:Earth Moon Scale.jpg|thumb|center|800px|Picha inayoonyesha umbali baina ya dunia na mwezi kulingana na ukubwa wao. Umbali wa wastani baina ya mwezi na dunia ni [[kilomita]] 384,400. Mwezi wetu una upana wa kilomita 3,470. Dunia yetu ina upana wa kilomita 12,800 <ref name="umbali_mwezi_dunia" />.]]
 
== Mwezi kama kipimo cha wakati ==
[[Picha:Mond Phasen.jpg||framed|none|Awamu za mwezi kuanzia [[mwezi mwandamumwandamo]] kupitia [[hilali]], robo ya kwanza, nusu mwezi, robo ya tatu, [[mwezi mpevu]] hadi mwezi mwandamumwandamo tena]]
Uso wa mwezi jinsi unavyoonekana duniani hubadilikabadilika. Mwezi mpevu unaonekana kama duara kamili la kung'aa lakini baada ya kuonekana hivi umbo lapungua kila siku hadi kutoonekana kabisa na hali hii huitwa mwezi mwandamumwandamo. Baadaye mwezi unaonekana tena kama [[hilali]] nyembamba na kuongezeka hadi kuwa duara tena. Muda wa mabadiliko yote kupita mara 1 ni siku 29 1/4.
 
Muda wa mabadiliko kati ya mwezi mwandamumwandamo hadi kupotea na kuwa mwezi mwandamumwandamo tena ni kati ya siku 28 - 29. Kipindi hiki kinakumbukwa kirahisi, kinatazamiwa na watu wote wakati uleule kwa hiyo pamoja na kipindi cha siku kilikuwa kati ya vipimo vya kwanza vya wakati kwa [[binadamu]].
 
Inawezekana kwamba [[juma]] la siku saba lilianza kwa kuzingatia [[robo]] 4 za mwezi wa siku 28.
Muda wa mabadiliko kati ya mwezi mwandamu hadi kupotea na kuwa mwezi mwandamu tena ni kati ya siku 28 - 29. Kipindi hiki kinakumbukwa kirahisi, kinatazamiwa na watu wote wakati uleule kwa hiyo pamoja na kipindi cha siku kilikuwa kati ya vipimo vya kwanza vya wakati kwa binadamu.
 
Awamu za mwezi zilikuwa vipindi vya kuhesabu wakati tangu mwanzo wa kalenda. Hadi leo kuna [[kalenda ya mwezi]] ndiyo [[kalenda ya Kiislamu]] inayopanga wakati kutokana na hali halisi ya awamu za mwezi.