Kanisa kuu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[image:Archbasilica of St. John Lateran HD.jpg|thumb|300px|Upande wa mbele wa [[Basilika]] [[Kanisa kuu la Roma|kuu la Mt. Yohane huko Laterano]] wakati wa [[usiku]]. Ndilo kanisa kuu la [[Roma]]. Juu ya [[daripaa]], pamoja na nyingine, kuna [[sanamu]] ya Yesu Mkombozi tena [[Thenashara|12]] za [[Mitume wa Yesu]].]]
[[File: Catedral_de_Salta_1.jpg|thumb|right|200px|Kanisa kuu la [[Salta]], [[Argentina]].]]
'''Kanisa kuu''' ni [[jina]] la heshima la [[Maabadi|jengo la ibada]] la [[madhehebu]] mbalimbali ya [[Ukristo]] ambalo [[Askofu]] wa [[jimbo]] ([[dayosisi]]) fulani analitumia kwa kawaida kutekeleza kazi yake kama [[mchungaji]] mkuu wa waamini wake, kama vile kuhubiri na kufundisha [[Neno la Mungu]], kutakasa watu kwa [[sakramenti]] na [[sala]] mbalimbali na kuwaunganisha wote katika kumfuata [[Yesu]] pamoja.
Mstari 10:
==Upekee==
Ndani yake umo [[ukulu]], yaani [[kiti cha Askofu]] kisichopatikana katika makanisa mengine.
 
==Kanisa kuu la Wakatoliki wote==
Kwa kuwa [[imani]] ya [[Kanisa Katoliki]] ni kwamba [[Papa]] wa [[Roma]] ni mkuu wa maaskofu wote [[duniani]], kanisa kuu la [[Kanisa la Roma|jimbo lake]] ni pia kanisa kuu la Wakatoliki wote. Ndiyo sababu [[mlango|mlangoni]] mwa [[basilika]] kuu la [[Laterano]] imeandikwa kwamba ndilo "[[kichwa]] na [[mama]] wa makanisa yote ya jiji na ya dunia nzima".
 
{{mbegu-Ukristo}}