Brahmagupta : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d (GR) File renamed: File:Brahmagupta.jpgFile:Hindu astronomer, 19th-century illustration.jpg File renaming criterion #3: To correct obvious errors in file names, including misspelled [[c::en:Noun#P...
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Hindu astronomer, 19th-century illustration.jpg|thumbnail|Brahmagupta]]
'''Brahmagupta''' ([[Kisanskrit]]: ब्रह्मगुप्त)) (597–668[[597]]–[[668]] [[BK]]) alikuwa mtaalamu [[Mhindi]] [[mtaalamu]] wa [[hisabati]] na [[astronomia]] anayekumbukwa kwa maandiko[[maandishi]] yake kuhusu fnifani hizihizo mbili.
Alikuwa msimamzi wa [[kituo cha astronomia]] mjini [[Ujjain]] ([[Madhya Pradesh]]).
 
Alikuwa msimamzimsimamizi wa [[kituo cha astronomia]] [[Mji|mjini]] [[Ujjain]] ([[Madhya Pradesh]]).
Brahmagupta alikuwa mwanahisabati wa kwanza anayejulikana kutunga sheria za kupiga hesabu kwa kutumia [[sifuri]]. Alitunga pia sheria za hesabu kwa [[namba hasi]].
 
Brahmagupta alikuwa [[mwanahisabati]] wa kwanza anayejulikana kutunga sheria za kupiga hesabu kwa kutumia [[sifuri]]. Alitunga pia sheria za hesabu kwa [[namba hasi]].
Katika fani ya astronomia aliping mafundisho ya siku zake kuwa dunia ni tambarare akasisitiza ni tufe. Pia alipinga mafundisho kuwa mwezi ni mbali kuliko jua akaonyesha kuwa sharti mwezi uko karibu zaidi.
 
Katika fani ya astronomia alipingalipinga mafundisho ya siku zake kuwa [[dunia]] ni [[tambarare]] akasisitiza ni [[tufe]]. Pia alipinga mafundisho kuwa [[Mwezi (gimba la angani)|mwezi]] niuko mbali kuliko [[jua]] akaonyesha kuwa sharti mwezi ukouwe karibu zaidi.
[[jamii:wanasayansi wa Uhindi]]
 
[[jamii:wanaastronomia]]
[[jamii:wanahisabatiwaliozaliwa 597]]
[[Jamii:waliofariki 668]]
[[jamii:wanaastronomia wa Uhindi]]
[[jamii:wanasayansiwanahisabati wa Uhindi]]