Tofauti kati ya marekesbisho "Shairi"

2,446 bytes added ,  miaka 6 iliyopita
no edit summary
No edit summary
No edit summary
'''Shairi''' ni sehemu ya [[fasihi]]. Mashairi ni [[tungo]] zenye kutumia mapigo ya [[silabi]] kwa utaratibu maalumu wa [[Muziki|kimuziki]] kwa kutumia [[lugha ya mkato]], [[lugha ya picha]] na [[tamathali za semi]].
{{umbo}}
'''Shairi''' ni sehemu ya [[fasihi]]. Mashairi huweza kuandikwa au kutungwa kulingana na jinsi yanavyoonekana. hii ina maana kuwa, mashairi huweza kutofautishwa kwa idadi ya mishororo, jinsi maneno yalivyopangwa, urari wa vina na kadhalika.
 
'''Shairi''' ni sehemu ya [[fasihi]]. Mashairi huweza kuandikwa au kutungwa kulingana na jinsi yanavyoonekana. hii ina maana kuwa, mashairi huweza kutofautishwa kwa [[idadi]] ya mishororo, jinsi maneno yalivyopangwa, [[urari]] wa [[kina (fasihi)|vina]] na kadhalika.
==AINA ZA MASHAIRI KUTOKANA NA IDADI YA MISHORORO==
# TATHNIA/UWILI: shairi hili huwa na mishororo miwili katika kila ubeti. vina vyake vyaweza kuwa na mtiririko.
# TATHLITHA/UTATU: shairi hili huwa na mishororo mitatu katika kila ubeti. vina vyake huenda vikawa na urari.
# TARBIA: shairi la aina hii huwa na mishororo minne katika kila ubeti. mara nyingi shairi hili hugawanywa katika sehemu mbili, ukwapi na utao. mshororo wa kwanza wa shairi hili huitwa kipokeo, wa pili huitwa mloto, wa nne huitwa kibwagizo. kibwagizo huwa kinarudiwarudiwa katika kila ubeti.
# TAKHMISA: hili ni shairi lenye mishororo mitano katika kila ubeti
# TASDISA: shairi hili huwa na mishororo sita katika kila ubeti
# TATHMINA: hili ni shairi lenye mishororo minane katika kila ubeti
# UKUMI: ukumi ni shairi lililo na mishororo kumi katika kila ubeti
 
Kuna [[mashairi]] yanayofuata taratibu za [[mapokeo|kimapokeo]], yaani yanazingatia taratibu za urari na vina, [[mizani (ushairi)|mizani]], idadi sawa ya mistari, vituo na [[ubeti|beti]].
==AINA ZA MASHAIRI JINSI YANAVYOJITOKEZA==
# KIKWAMBA: kikwamba ni aina ya shairi lililo na kibwagizo ambacho ni kifupi ukilinganisha na ile mishororo mingine. hili huweza kuuchukuwa mfumo wa mashairi yale mengine.
# HURU/GUNI/VUE: shairi huru/guni au vue huwa ni shairi ambalo halifuati sheria za kiarudhi. hili hutungwa tu kikawaida.
# NGONJERA: shairi hili huhusisha waimbaji zaidi ya mmoja. uimbaji wao huwa katika mfumo wa majibizano.
 
Mashairi huwa na mizani 14 au 16 katika kila mstari, yaani mizani 7 au 8 kwa kila kipande cha mstari.
[[Jamii:Fasihi]]
 
Pia kuna mashairi yasiyofuata utaratibu huo wa kimapokeo na huitwa mashairi ya kimamboleo. Mashairi haya mara nyingi huwa ni [[nyimbo]].
[[en:Poem]]
 
;Mfano :
*Tulopeleka bungeni, wamegeuka nyang'au,
*Mafisadi kama nini, baladhuli mabahau,
*Wanavunja mpini, konde wamelisahau,
*Zamani na siku hizi, mambo sivyo yavyokuwa.
 
*Mwalimu mwana elimu, asiyekujua ni nani?
*Kwake ilete elimu, liyopewa na Maanani,
*Watu wote wafahamu, hapingiki hasilani,
*Adharauye mwalimu, kapungua akilini.
 
==Aina za mashairi==
Kuna aina kuu mbili za mashairi, nazo ni kama zifuatavyo:
===(i) Mashairi ya kimapokeo===
Vilevile huitwa ''mashairi funge'' - ni mashairi yanayozingatia kanuni za muwala/urari (ulinganifu) wa mizani, vina, idadi ya mistari katika kila [[ubeti]] na kituo katika shairi.
===(ii) Mashairi ya kimamboleo===
Haya ni mashairi yasiyozingatia kanuni za kimapokeo, yaani, hayazingatii kanuni za muwala/urari (ulinganifu) wa mizani, vina, idadi ya mistari katika kila ubeti na kituo katika shairi.
Mashairi haya pia huitwa ''mashairi huru''/''mashairi ghuni''/''mashairi ya kisasa''/''masivina''/''mapingiti''.
 
==Mizani==
Mizani ni ulinganifu wa idadi ya silabi katika kila kipande au mistari ya ubeti wa shairi. Mara nyingi mashairi ya kimapokeo huwa na mizani nane (8) kwa kila kipande na mizani kumi na sita (16) kwa kila mstari ([[mshororo]]).
 
==Vina==
Vina ni silabi zenye [[sauti]] ya namna moja zinazotokea katikati au mwishoni mwa kila mshororo wa kila ubeti wa shairi. Hivyo basi kuna ''vina vya kati'' na ''vina vya mwisho''.
 
==Ubeti==
Ni fungu la mistari lenye maana kamili. Ubeti unaweza kulinganishwa na [[aya]] katika maandiko ya kinathari. Mara nyingi ubeti huishia katika kituo. Ubeti mmoja unaweza kuwa na:
*Mstari mmoja ([[tamonitha]])
#*Mistari TATHNIAmiwili (tathiniya/[[tathinia]]/UWILIuwili): shairi hili huwa na mishororo miwili katika kila ubeti. vina vyake vyaweza kuwa na mtiririko.
#*Mistari TATHLITHA/UTATUmitatu ([[tathilitha]]): shairi hili huwa na mishororo mitatu katika kila ubeti. vina vyake huenda vikawa na urari.
#*Mistari TARBIAmine ([[tarbia]]): shairi la aina hii huwa na mishororo minne katika kila ubeti. mara nyingi shairi hili hugawanywa katika sehemu mbili, ukwapi na utao. mshororo wa kwanza wa shairi hili huitwa kipokeo, wa pili huitwa mloto, wa nne huitwa kibwagizo. kibwagizo huwa kinarudiwarudiwa katika kila ubeti.
#*Mistari TAKHMISAmitano ([[takhmisa]]): hili ni shairi lenye mishororo mitano katika kila ubeti
*Mistari zaidi ya mitano ([[sabilia]]), kwa mfano: [[tasdisa]] huwa na mishororo sita katika kila ubeti, [[tathmina]] huwa na mishororo minane katika kila ubeti, [[ukumi]] huna na mishororo kumi katika kila ubeti.
 
==Aina za mashairi jinsi yanavyojitokeza==
# KIKWAMBA: kikwamba[[Kikwamba]] ni aina ya shairi lililo na kibwagizo ambacho ni kifupi ukilinganisha na ile mishororo mingine. hili huweza kuuchukuwa mfumo wa mashairi yale mengine.
# NGONJERA[[Ngonjera]]: shairi hili huhusisha waimbaji zaidi ya mmoja. ambao uimbaji wao huwa katika mfumo wa majibizano.
 
==Kituo==
Ni mstari (mshororo) wa mwisho katika kila ubeti wa shairi ambao huonesha msisitizo wa ubeti mzima au shairi zima. Wakati mwingine kituo huitwa [[kibwagizo]]/[[korasi]]/[[mkarara]]/[[kiitikio]].
 
==Tazama pia==
*[[Fasihi andishi]]
*[[Fasihi simulizi]]
 
{{mbegu-lugha}}
 
[[Jamii:Fasihi]]
[[Jamii:Sanaa]]