Kiambishi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Kiambishi''' ni vipandekipande vyacha maneno[[neno]] chenye maana ya [[Sarufi|kisarufi]] ambacho kinapachikwa kwa vinavyopachikwamfano kabla naau baada ya [[mzizi]] wa [[neno]] katika [[vitenzi]] na kuwakilisha dhana fulani. <ref>*Masuko Christopher Saluhaya, 2013. ISBN 978 9987 9581 1 5.</ref>
 
Miongoni mwa viambishi vya [[Kiswahili]] mna [[NI]], [[NDI]], [[KI]], [[KA]] na kadhalika.
 
Kiambishi kikitangulia mzizi au [[kiini]] cha neno kinaitwa [[kiambishi awali]], kikifuata kinaitwa [[kiambishi tamati]].
 
==Tazama pia==
*[[Lango:Lugha]]
*[[Kiambishi awali]]
*[[Kiambishi tamati]]
 
==Marejeo==