Tungo kishazi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
+sawazisho
No edit summary
Mstari 1:
'''Tungo kishazi''' ni [[tungo]] inayotawaliwa na [[kitenzi]]. Kitenzi hicho kinaweza kuwa kinajitosheleza kimaana au kisijitoesheleze kimaana vilevile.

Kile kinachojitosheleza kimaakimaana - basi hutoa taarifa kamili nawakati kile ambacho hakijitoshelezi kimaana - basi hakitoi taarifa kamili. Hivyo basi ni lazima kiambatanakiambatane na kisha (kitenzi) kingiekingine ndipo taarifa yake ikamilike.
;Mfano:
(i) Mtoto '''anacheza''' mpira
Line 9 ⟶ 11:
;Tungo namba (ii):
Ijapokuwa tungo hii imetawaliwa na kitenzi, lakini kitenzi hicho hakijitoshelezi kimaana hivyo basi hakitoi taarifa kamili.
 
==Aina za Vishazi==
Kuna aina kuu mbili za vishazi nazo ni:
*i. [[Kishazi huru]] (K/Hr) ni sentensi ''iliyokamilika'' kwa maana
*ii. [[Kishazi tegemezi]] (K/teg) ni aina ya sentensi ambayo ''haijakamilika'' kimaana.
'''Kwa mfano:'''<br />
<u>Ukuta uliobomoka</u><sub>'''1'''</sub> <u>ulisababisha hasara kubwa</u><sub>'''2'''</sub>
<sub>'''1.'''</sub> Kishazi tegemezi<br />
<sub> '''2.'''</sub> Kishazi huru
 
==Tazama pia==
Line 22 ⟶ 29:
[[Jamii:Isimu]]
[[Jamii:Sarufi]]
[[Jamii:Kiswahili]]