Mchwa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
Nyongeza spishi
Mstari 27:
}}
'''Mchwa''' ni [[mdudu|wadudu]] wadogo wa [[oda ya chini]] [[Isoptera]] katika [[oda]] [[Blattodea]] wanaoishi kwa makoloni makubwa katika [[kichuguu|vichuguu]]. Takriban spishi zote hula ubao. Kila koloni lina [[malkia (mdudu)|malkia]], [[mfalme (mdudu)|mfalme]], [[askari (mdudu)|askari]] na wafanya kazi. Askari na wafanya kazi hawana mabawa lakini malkia na mfalme walikuwa na mabawa wakati walikuwa vijana. Mfalme anamtia malkia [[mimba]] na huyu anazaa [[yai|mayai]] mengi sana. Askari wanalinda kichuguu na wafanya kazi wanafanya kazi zote nyingine. Mara kwa mara wafanya kazi wanawapatia majana kadhaa chakula fulani ili wawe wadudu wanaoweza kuzaa. Wadudu hawa wana mabawa na huitwa [[kumbikumbi]].
 
==Spishi kadhaa za Afrika==
* ''Coptotermes amanii''
* ''Cubitermes ugandensis''
* ''Hodotermes mossambicus'', [[Mchwa Mvunaji]]
* ''Macrotermes michaelseni'', [[Mchwa Mkubwa wa Michaelsen]]
* ''Macrotermes natalensis''
* ''Microtermes alluaudanus'', [[Mchwa Mdogo wa Aluauda]]
* ''Pseudacanthoterms spiniger'', [[Mchwa Miiba]]
* ''Odontotermes tanganicus'', [[Mwcha-meno wa Tanga]]
* ''Trinervitermes trinervoides'', [[Mchwa-pua Mvunaji]]
 
==Picha==