Allan Nevins : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 32:
| uzito =
}}
 
[[File:Allannevins.jpg|thumb|right|Allan Nevins]]
'''Allan Nevins''' ([[20 Mei]] [[1890]] – [[5 Machi]] [[1971]]) alikuwa mwanahistoria na mwandishi kutoka nchi ya [[Marekani]]. Alipokea '''[[Tuzo ya Pulitzer]]''' mara mbili, kwanza mwaka wa [[1933]] kwa wasifu yake ya [[Grover Cleveland]], na tena [[1937]] kwa wasifu yake ya [[Hamilton Fish]].