Kipepeo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Vipepeo na nondo
dNo edit summary
Mstari 28:
 
[[Picha:TYOU&HIGANBANA.JPG|thumb|''Papilio xuthus'']]
Vipepeo wa kweli ni wadudu wa [[nusuoda]] [[Glossata]]. Wana wengine wa Lepidoptera huitwa [[nondo (mdudu)|nondo]]. Kama ilivyo kwa wadudu wengi mzunguko wa maisha wa vipepeo huwa na sehemu nne: yai, [[lava]] (kiwavi), bundo na ndumili ([[w:imago|imago]]). Spishi nyingi zaidi huruka wakati wa mchana. Rangi zao za kupendeza na miruko yao ya mbwembwe hufanya kuangalia vipepeo kuwa miongoni mwa tabia za kupendeza kwa baadhi ya watu.
 
Vipepeo wengi kiasili wamepitia mabadiliko makubwa. Wengine wametoka na na mabadiliko kutoka kwa wadudu kama vile mchwa. Vipepeo ni muhimu sana kwa kusaidia uchavushaji kwa binadamu, sababu zinapelekea mharibifu wa mazao hasa katika hatua ya lava ya ukuaji nao kitamaduni, vipepeo ni motifu maarufu katika sanaa ya maandishi na maonesho.