Rosetta (kipimaanga) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
mwisho
Mstari 13:
 
==Mwisho==
Tarehe [[30 Septemba]] [[2016]] mnamo saa [[nane]] na [[nusu]] [[mchana]] (saa 13:19 h wakati wa [[Afrika zaya Mashariki]]) shughuli za Rosetta zilifikia mwisho ilhali chombo hiki kiligonga uso wa nyotamkia 67P.

Viongozi wa mradi wake waliamua kumaliza kazi yake kwa njia hiihiyo kwa sababu chombo kilifuatana na nyotamkia kwenye njia yake kuelekea ng'ambo ya mzingo wa sayari ya [[Mshtarii]] ambako nuru ya jua haitoshihaitoshelezi tena kutosheleza mahitaji ya [[nishati]] ya chombo.

Hivyo mabaki ya umeme katika beteri[[betri]] yalitumiwa kuwasha [[injini]] mara ya mwisho na kukilenga chombo kwenda usoni wamwa nyotamkia na kutumia safari hii ya mwisho kuchukua tena picha za karibu na kuzituma duniani..
 
==Viungo vya Nje==
*[http://unawetanzania.org/2014/11/13/mafanikio-yamefikiwa-kutua-juu-ya-kimondo Mafanikio Yamefikiwa: Kutua Juu ya Kimondo; Blogu ya unawetanzania.org kuhusu Rosetta]