Jangwa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
kiungo
Mstari 34:
 
=== Maji ya mvua ===
Mvua ikionyesha unaweza kutokea kwa wingi. Maji yake hukusanyika katika mabonde na kutokea kama mto wa muda. Kuna mifano mingi ya wasafiri jangwani waliokufa kwa sababu walipiga kambi katika bonde penye [[kivuli]] lakini walizama kwa sababu mto mkali ulijitokeza kwa ghafla kutokana na mvua ulionyesha katika umbali mkubwa.
 
Sehemu nyingine mvua husababisha kutokea kwa mbwawa hata maziwa kwa muda.