Kivuli : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ' '''Kivuli''' ni eneo lenye nuru kidogo katika mazingira yenye nuru zaidi. Kinapatikana nyuma ya gimba kinachoangazwa upande moja lakini kinazuia nuru kuend...'
 
Mstari 9:
Vilevile umbo la kivuli unategemea [[Pembe (jiometria)|pembe ya kijiometria]] kati ya chanzo cha nuru na gimba. Hii inaonekana kwa kuzatama kivuli cha mtu au nyumba wakati wa mchana na wakati wa jioni. Jioni jua linaonekana chini zaidi angani hivyo pembe la nuru yake ni dogo na kivuli kirefu. Kama jua liko juu kabisa angani kivuli huwa ndogo maana nuru inafika kutoka pande nyingi, hivyo kivuli ina nafasi ndogo tu, ni "fupi". Kama jua liko "chini" wakati wa asubuhi au jioni linaangaza upande moja tu hivyo nafasi ya kivuli inakua.
 
[[Picha:Antumbra.jpg|thumb|Kivuli kamili na nusukivuli chumbani kutokana na kipande cha pazia dirishani]]
==Aina za kivuli==
Kama chanzo cha nuru kinafanana na nukta kivuli ni kali yaani kuna kivuli kamili tu kinachokaribia rangi nyeusi. Tofauti kati ya kivuli na eneo lenye nuru ni kali kama mstari uliochorwa. Lakini kama chanzo cha nuru ni pana zaidi kuna ngazi mbili za kivuli yaani kivuli kamili ([[ing.]] ''umbra'') na nusu kivuli (ing. ''penumbra''). Kati ya nusu kivuli na maeneo yenye nuru mpaka si kali tena.
Line 15 ⟶ 16:
 
Kama chanzo cha nuru ni pana sana kama anga iliyofunikwa na mawingu kivuli kinaweza kupotea kabisa. Maana kiasi cha nuru inatokea kote angani.
 
 
== Picha za viwuli ==