Afrika ya Mashariki ya Kiingereza : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 1:
[[Image:Stamp British East Africa 1896 2.5a.jpg|right|120px|thumb|[[Stempu]] ya [[posta]] ya [[anna]] 2 1/2, mwaka [[1896]].]]
'''Afrika ya Mashariki ya Kiingereza''' (kwa [[Kiingereza]] ''British East Africa Protectorate'') lilikuwa [[jina]] la eneo la [[Kenya]] lililowekwa chini ya [[utawala wa ulinzi]] wa [[Uingereza]] kuanzia [[mwaka]] [[1895]] hadi [[1920]] [[BK]] kama mtangulizi wa [[koloni]] la Kiingereza la Kenya.
 
==Historia==
Wakati wa mashindano ya kugawa [[Afrika]] kati ya [[madola]] ya [[Ulaya]], [[Kampuni ya Kifalme ya Kiingereza kwa Afrika ya Mashariki]] ilianza shughuli zake katika eneo hili kwa [[kibali]] cha [[sultani]] wa [[Zanzibar]] kuanzia mwaka [[1888]]. Kampuni hiyo ilitakiwa kuwa na [[mamlaka]] juu ya eneo hili kwa kusudi la kufanya [[biashara]], lakini uwezo wake haukutosha kutimiza shughuli, hasa maandalizi ya kujenga [[reli ya Uganda]] kati ya [[Mombasa]] na [[Kampala]].
 
Kampuni hiyo ilitakiwa kuwa na [[mamlaka]] juu ya eneo hili kwa kusudi la kufanya [[biashara]], lakini uwezo wake haukutosha kutimiza shughuli, hasa maandalizi ya kujenga [[reli ya Uganda]] kati ya [[Mombasa]] na [[Kampala]].
Baada ya kuazimia kujenga [[reli]], [[Uingereza]] iliona haja ya kulinda eneo la reli hiyo: ndipo ikatangaza eneo lote kati ya Mombasa na Uganda kuwa chini ya ulinzi wake kuanzia tarehe [[1 Julai]] 1895. Huo ndio mwanzo wa Afrika ya Mashariki ya Kiingereza ambaye baadaye iliitwa Kenya.
 
Baada ya kuazimia kujenga [[reli]], [[Uingereza]] iliona haja ya kulinda eneo la [[reli]] hiyo: ndipo ikatangaza eneo lote kati ya Mombasa na [[Uganda]] kuwa chini ya ulinzi wake kuanzia tarehe [[1 Julai]] 1895. Huo ndio mwanzo wa Afrika ya Mashariki ya Kiingereza ambaye baadaye iliitwa Kenya.
 
Eneo hilo baadaye lilipanuliwa zaidi hadi kukutana na maeneo yaliyokuwa chini ya [[utawala]] wa [[Italia]] ([[Somalia]]) na [[Ethiopia]] upande wa [[Kaskazini]], utawala wa ushirikiano wa [[Misri]] na Uingereza ([[Sudan]]). Upande wa [[kusini]] mpaka ulifuata mapatano na [[Afrika ya Mashariki ya Kijerumani]].
 
Mpaka na eneo chini ya utawala wa ulinzi wa [[Uganda]] ulisahihishwa mwaka [[1905]]; hadi wakati ule sehemu kubwa ya eneo la Kenya ya Magharibi ya leo ilihesabiwa kuwa upande wa Uganda.
 
Baada ya [[vita kuu ya kwanza]] hali ya eneo ilibadilishwa kuwa koloni la Kenya kuanzia 1920.
 
{{Hoja Kuhusu Tanzania}}
{{Hoja Kuhusu Kenya}}