Content deleted Content added
Tengua pitio 967792 lililoandikwa na Baba Tabita (Majadiliano)
No edit summary
Mstari 13:
Ingawa jina langu rasmi ni Oliver, hapa Afrika Mashariki mimi huitwa '''Baba Tabita''' kwa ajili ya mtoto wa kwanza, binti anayeitwa Tabita.
 
Nimetoka [[Ujerumani]] lakini nimekaa Afrika Mashariki tangumiaka mwaka waya 1996 hadi 2006. Nafanya kazi kama mshauri wa [[isimu|kiisimu]], na lengo langu ni kukuza matumizi ya [[Orodha ya makabilalugha yaza Tanzania|lugha za Tanzania]]. Ndiyo sababu kuu ya kujitahidi kwangu upande wa ujenzi wa Wikipedia ya [[Kiswahili]].
 
Tarehe 15 Januari 2016 nimefikisha michango [https://tools.wmflabs.org/guc/index.php?user=Baba%20Tabita 50,000].