Akiolojia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d +jamii
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Tommarp kloster 02.JPG|thumb|250px|WanakiolojiaWanaakiolojia wakichimba kwenye misingi ya maghofu ya monasteri huko Sweden.]]
[[Picha:PompeijStrasse.jpg|thumb|250px|[[Barabara]] hii ya [[Pompei]] (Italia) ilifunikwa mwaka [[79]] na [[majivu]] ya [[volkeno]] kwa muda wa miaka 1800 hadi kufunuliwa tena na wanakiolojiawanaakiolojia kuanzia mwaka [[1863]].]]
'''Akiolojia''' (kutoka [[Kiyunani]] αρχαίος = ''zamani'' na λόγος = ''neno, usemi'') ni somo linalohusu mabaki ya [[Utamaduni|tamaduni]] za [[Mtu|watu]] wa nyakati zilizopita. Wanaakiolojia wanatafuta vitu vilivyobaki, kwa mfano kwa kuchimba ardhi na kutafuta mabaki ya [[Jengo|majengo]], [[Kaburi|makaburi]], [[silaha]], vifaa, vyombo na [[mifupa]] ya watu.
 
==Akiolojia na historia==
'''Tofauti na somo la [[Historia''']], akiolojia haichunguzi sana [[maandishi]] hasa ili kupata ufafanuzi juu yawa mambo ya kale. Historia inatazama zaidi habari zilizoandikwa lakini akiolojia inatazama vitu vilivyobaki kutoka zamani. WaakiolojiaWanaakiolojia wanaweza kutumia maandishi na habari za historia wakiamua jinsi gani kuendeleawaendelee na [[utafiti]] wao, kwa mfano wachimbe wapi. Lakini hutumia mitindo ya [[sayansi]] mbalimbali kuchunguza vitu vinavyopatikana kwa njia ya akiolojia.

Kinyume chake, matokeo ya akiolojia ni chanzo muhimu kwa wachunguzi wa historia. Mara nyingi matokeo ya akiolojia yanaweza kupinga au kuthebitishakuthibitisha habari zilizoandikwa au kufungua [[macho]] kwa kuzielewa tofauti.
 
==Mfano wa Pompei==
'''Mfano bora wa akiolojia''' ni utafiti wa [[mji]] wa '''[[Pompei]]''' huko [[Italia]]. Habari za Pompei zimepatikana katika maandishi mbalimbali ya kiroma[[Roma ya Kale|Kiroma]], lakini mji uliharibika kabisa na kufunikwa na [[majivu]] ya [[volkeno]] [[Vesuvio]] mn. mwaka [[79]] b[[B.K.]]

Kuanzia mwaka [[1748]] wataalamu walianza kuchimba mahali pa mji mpotevu wakaipatawakaupata. Hadi leo sehemu kubwa ya mji umefunuliwa tena. Chini ya majivu na [[udongo]] wa [[karne]] nyingi vitu vingi vimehifadhiwa vizuri ambavyo vingepotea kabisa visingefunikwa, kwa mfano [[picha]] za kiroma kwenye kuta za nyumbaKiroma zenye [[rangi]] nzuri kabisa kwenye kuta za [[nyumba]]. Hata mabaki ya [[chakula]] yamepatikana yakachunguliwayakachunguzwa.
 
==Afrika na akiolojia==
'''Afrika na Akiolojia:''' ujuzi[[Ujuzi]] wa akiolojia ni muhimu sana kwa ajili ya [[historia ya Afrika]]. Tamaduni nyingi za [[Afrika]] ziliendela bila maandishi hadi juzi au hata leo. Habari zetu kuhusu utamaduni wa [[Zimbabwe Kuu]] au kuhusu uenezajiuenezi wa [[Wabantu]] hutegemea akiolojia kwa kiasi kikubwa sana.
 
Hivyo akiolojia huongeza ujuzi wetu kwa kufunua ushahidi wa nyakati za kale; wakati uleulehuohuo kazi ya akiolojia inahatarisha ushahidi huo kwa sababu kazi yake huondoa hifadhi ya udongo. Katika karne za kwanza za akiolojia mabaki mengi ya tamaduni za kale yameharibika kutokana na kufunuliwa kwao. Kuepukana na tatizo hilo ni jukumu muhimu yala akiolojia ya kisasa.
 
== Viungo vya nje==
* [http://www.african-archaeology.net/index.html "The World Wide Web Library of African Archaeology] (Kiingereza)
{{commonscat|Archaeology|Akiolojia}}
* [http://www.african-archaeology.net/index.html "The World Wide Web Library of African Archaeology] (Kiingereza)
 
{{mbegu-sayansi}}
 
[[Jamii:Akiolojia|*]]
[[Jamii:Sayansi]]
[[Jamii:Historia]]