Sanaa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:MonaLisa sfumato.jpeg|right|thumb|280px|Sehemu ya ''[[La Gioconda]], [[mchoro]] wa [[Leonardo da Vinci]] unaotunzwa huko [[Paris]] ([[Ufaransa]]).]]
'''Sanaa''' (kutoka [[neno]] la [[Kiarabu]]) ni [[ufundi]] unaoutumiaanaoutumia [[mwanadamu]] ili kuwasilisha [[fikra]] au mawazo yaliyo ndani ya [[akili]] yake.

Vilevile sanaa ni [[uzuri]] unaojiibua katika [[umbo]] lililosanifiwa.
 
Kusanifu ni kuumba, kufanya jambo au kitu kwa kutumia ufundi/ustadi ili kiweze kuvutia watu kwa uzuri wake. Mtu hueleza [[hisia]] zinazomgusa kwa kutumia umbo fulani ambalo limesanifiwa.
Line 6 ⟶ 8:
Hivyo kazi yoyote ya sanaa inategemewa ioneshe ufundi wa hali ya juu ili iwe na mvuto kwa [[hadhira]] yake.
 
Tunaweza kuona [[kazi]] ya sanaa kupitia [[tanzu]] za [[uchorajifasihi]], [[utariziuchoraji]], [[ususi]], [[fasihiufumaji]], [[utarizi]], [[uchongaji]], [[ufinyanzi]] na kadhalika.
 
Kila umbo huwa na [[nyenzo]] zinazotumika katika kuliumba umbo hilo. Kwa mfano katika [[uchongaji]] kuna [[mti]] ([[gogo]]), [[panga]], [[tezo]], [[msasa]], [[rangi]] na kadhalika.
 
==Aina za sanaa==
'''Hizi ni baadhi tu ya aina ya sanaa:
*[[Uchongaji]]
*[[Ususi]]
*[[Fasihi]]
*[[Maonyesho]]
*[[Muziki]]
*[[TariziUchongaji]]
*[[sanaa za maoneshoUchoraji]]
*[[Ufinyanzi]]
*[[Ufumaji]]
*[[Ushonaji]]
*[[UchorajiUsusi]] na,
*[[UfinyanziUtarizi]]
'''
 
==Upekee wa fasihi==
Line 32 ⟶ 33:
*5. Huwa na mtindo unaoeleweka.
*6. Huwa na [[fani]] na [[maudhui]].
 
==Tazama pia==
==* sanaa[[Sanaa ya Afrika ==]]
 
==Viungo vya nje==
* {{cite encyclopedia |last1=Cowan |first1=Tyler |authorlink=Tyler Cowan |editor= [[David R. Henderson]] (ed.) |encyclopedia=[[Concise Encyclopedia of Economics]] |title=Arts |url=http://www.econlib.org/library/Enc/Arts.html |year=2008 |edition= 2nd |publisher=[[Library of Economics and Liberty]] |location=Indianapolis |isbn=978-0865976658 |oclc=237794267}} – A look at how general economic principles govern the arts.
 
== sanaa ya Afrika ==
* [[Fathi Hassan]]
 
{{lango|{{PAGENAME}}}}