Tofauti kati ya marekesbisho "Fasihi"

574 bytes added ,  miaka 5 iliyopita
d (Aliulinda "Fasihi": Uharabu kupindukia ([Kuhariri=Zuia watumiaji wapya au wale ambao hawajajisajilisha] (itakwisha 08:29, 28 Julai 2017 (UTC)) [Kuhamisha=Zuia watumiaji wapya au wale ambao hawajajisajilisha] (itakwisha 08:29, 28 Julai 2017 (UTC))))
 
==Aina za fasihi==
Fasihi ndiyo aina pekee ya sanaa inayotumia lugha kujitambulisha au kujitofautisha na aina nyingine za sanaa. Kuna aina kuu mbili za fasihi nazo ni:
*[[Fasihi simulizi]] - huwasilishwa kwa lugha ya mazungumzo/masumilizi
*[[Fasihi andishi]] - huwasilishwa kwa lugha ya maandishi
**Fasihi simulizi huwasilishwa kwa njia ya lugha ya mazungumzo au masimulizi ya mdomo
**Fasihi andishi huwasilishwa kwa njia ya lugha ya maandishi
 
===Fasihi simulizi===
Fasihi simulizi ni aina ya fasihi ambayo hutumia mazungumzo ya mdomo ili kufikisha ujumbe kwa hadhira. Aina hii ya fasihi ndiyo iliyokuwapo tangu zamani kabisa mwanadamu alipoanza kuishi yaani ilianza pale mwanadamu alipochangamana na wenzake katika kufanya mambo mbalimbali mfano,shughuli za biashara,kilimo,na nyinginezo.
 
Utanzu huu wa fasihi simulizi una vipera au aina kuu nne, nazo ni:
*1. Hadithi.
*2. Ushairi.
*3. Semi.
*4. Maigizo.
 
==Kufanana kwa fasihi simulizi na fasihi andishi==