Tendi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Tendi ni tungo ndefu za ushairi zinazoelezea juu ya matukio ya kishujaa yaliyofanywa nawatu fulani. Tendi hazina tofauti kubwa na tenzi isipokuwa zenyewe hu...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 14:28, 8 Oktoba 2016

Tendi ni tungo ndefu za ushairi zinazoelezea juu ya matukio ya kishujaa yaliyofanywa nawatu fulani. Tendi hazina tofauti kubwa na tenzi isipokuwa zenyewe hukazia zaidi juu ya matukio ya kishujaa wakati tenzi hukazia jambo fulani Mfano wa tendi ni

     MWOKOZI AJA
1. Mimi kwako ni baba,
   Napenda ujitukuze,
   Maana umefanikiwa,
   Uemshinda yule mwovu,
   Imani kuipokea,
   Kwa nguvu umemwangusha.
2. Kumbuka upigana,
   Sio kwa mambo ya dunia,
   Ushindi umeuleta,
   Watoto washangilia,
   Amani umawaletea,
   Kwa mto umemwangamiza,
   Adui yetu mwovu.