Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Removing Link FA template (handled by wikidata) - The interwiki article is not featured
→‎Sababu na matokeo: Nimerekebisha sarufi
Tags: Mobile edit Mobile app edit
Mstari 12:
'''Matokeo yake''' yalikuwa mwisho wa kipaumbele cha Ulaya duniani na kupanda ngazi kwa Marekani, [[mapinduzi]] katika nchi mbalimbali, mwisho wa falme za Ujerumani, [[Austria]] na Urusi pamoja na mwanzo wa utawala wa [[Ukomunisti|kikomunisti]] katika Urusi, mwisho wa Dola la Austria-Hungaria na wa [[Dola la Uturuki]] la Kiosmani pamoja na mwisho wa [[ukoloni]] wa Kijerumani duniani.
 
Katika Ulaya '''nchi mpya''' zilijitokeza kama vile [[Chekoslovakia]], [[FinlandUfini]], [[Latvia]], [[Estonia]] na [[Yugoslavia]] pamoja na nchi za zamani zilizotokea tena katika uwanja wa kimataifa ndizo [[Austria]], [[Hungaria]], [[Lithuania]] na [[Poland]].
 
== Hali kabla ya vita ==