Vitendawili : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Vitendawili''' ni [[semi]] zilizofumbwa ambazo hutolewa kwa hadhira ili zifumbuliwe. Jina linasema kuna pande mbili zinazotenda: anayeuliza na anayeulizwa, ama maneno yalivyo na maana yake ya fumbo.
 
Fumbo hilo huwa lina mawazo au mafunzo muhimu kwa washiriki na kuchemsha au kufikirisha [[akili]] zao.
Mstari 6:
Mifano ya vitendawili ni:
*1. [[PopoPopoo]] mbili zavuka [[mto]] ([[macho]]).
*2. [[Wazungu]] wanachungulia [[dirisha|dirishani]] ([[kamasi|makamasi]]).
*3. [[Blanketi]] la [[babu]] lina [[chawa]] ([[mbingu]]).