Kazi : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[File:Workers digging Cedar River Pipeline, 1899.jpg|thumb|[[Wachimbaji]] wa [[mfereji]] wa [[maji]] kwenye [[mto Cedar]], [[Washington]] ([[1899]]).]]
[[Picha:Classic view of The Thinker (8437831806).jpg|thumb|[[Mwanafalsafa]] kazini
[[File:Lewis Hine Power house mechanic working on steam pump.jpg|thumb|upright|[[Mfanyakazi]] akishughulikia [[mashine]] (picha ya [[Lewis Hine]], [[1920]]).]]
'''Kazi''' ni sehemu muhimu ya [[maisha]] ya [[binadamu]], hivyo ina nafasi kubwa katika [[anthropolojia]], [[falsafa]], [[teolojia]],[[fizikia]] na [[sosholojia]].
Inafafanuliwa kama [[utendaji]] unatumia [[nguvu]] ya [[akili]] au ya [[mwili]] ili kufikia lengo fulani, ambalo mara nyingi ni [[faida]] ya [[uchumi|kiuchumi]] ili
Lakini [[thamani]] yake halisi haiishii katika [[uzalishaji]] wa vitu, bali inategemea hasa ustawishaji wa [[utu]] katika vipawa vyake vyote kulingana na [[maadili]] na [[maisha ya kiroho]].
Ni mchango muhimu katika [[jamii]] na inayostahili kuheshimiwa na kutuzwa. ▼
Kwa msingi huo, ni [[wajibu]] wa kila mtu aliyefikia [[ukomavu]] fulani.
▲Ni pia mchango muhimu katika [[jamii]] na inayostahili kuheshimiwa na kutuzwa na wote, kuanzia [[serikali]].
{{mbegu}}
|